Kwa kutokuwa na sewerage system, kila nyumba ni ghala la na hifadhi ya kinyesi na maji machafu

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2016
Posts
14,311
Reaction score
36,056
Hii inchi ina utajiri wa vinyesi, yaani kila kaya ina hifadhi kubwa ya kinyesi au ghala la kinyesi. Tafsiri ya hili jambo ni nini, yaani nchi nzima imetapakaa vinyesi

Tufanyaje basi, tukusanye vinyesi vyote na maji taka tupeleke sehemu moja mahususi ambapo tutaifadhi ardhi yetu isaje vinyesi

Je wewe umeshawhi kulitafakari hili?

Mwambie kiongozi wako aone aibu, nchi hii itajaa vinyesi kila mahali.

Nimemaliza
 
Huwa kuna maeneo yanayotengwa (mabwawa) kwa ajili ya kuhifadhi hivyo vinyesi pale ambapo makaro/mashimo yetu ya majumbani yanapokuwa yamejaa.
Sijajua, wanapopeleka kwenye hayo mabwawa huwa wanafanyia nini; ingawa inaweza pia kutumika kuzalisha nishati, mbolea.​
 
Sewerage system ndiyo suluhisho, hakuna haja ya kuchimba mashimo ya vyoo na kuhifadhi vinyesi majumbani
 
Arusha ipo sehemu ya kuhifadhia vinyesi.
 
Kama umekaa hata hapo ulipokaa umekalia kinyesi ndani yako. Sewage system connected from majumbani ndo suruhisho mambo ya kupitisha tingatinga mitaani ni Jau sana.
 
Sewerage system ndiyo suluhisho, hakuna haja ya kuchimba mashimo ya vyoo na kuhifadhi vinyesi majumbani
Kuna badhi ya maeneo hii mifumo ipo, na usimamiwa na idara ya maji safi na maji taka, na katika bili za maji za kila mwezi hiyo huduma inakuwa inalipiwa.

Pale itokeapo njia kuziba inabidi idara husika ifanye kazi ya kuzibua hiyo mitaro.

kwa mazingira ya kawaida kama hii huduma itaeneo maeneo yote iwe ya miinuko, mabonde n.k itakuwa ni gharama sana ku usimamia, nadhani ndio maana ni sehemu tu chache ndio zimeweza kufikiwa.​
 
Nafikiri kwa manufaa ya matumizi mazuri ya ardhi, hiyo ndiyo option sahihi, nchi haiwezi kuwa na deposit ya vinyesi kila mahali
 
Inahitaji kujipanga sana, ingawa ardhi inahifadhi vitu vingi nyaza za simu, mabomba ya mafuta, mabomba ya maji safi, nyaya za internet, nyaya za umeme, mabomba ya maji taka n.k

Mabomba ya majitaka yanategemea sana mteremko, ni tofauti na maji safi yanayoletwa kwa presha; kwa mazingira hayo italazimu katika uchimbaji wa hizo njia waangalie mteremko na wakwepeshe baadhi ya miundo mbinu, na kama itakuwa ni maazimio kwa maeneo yote, nadhani utakuwa umeona picha ya gharama itakavyokuwa.​
 
Sina sikia ni nishati nzuri tu kwa jinsi vinyesi vilivojaa tutafute namna tunufaike na vinyesi vyetu
 
1712700147246.png
 
Hii inchi ina utajiri wa vinyesi, yaani kila kaya ina hifadhi kubwa ya kinyesi au ghala la kinyesi. Tafsiri ya hili jambo ni nini, yaani nchi nzima imetapakaa vinyesi

Tufanyaje basi, tukusanye vinyesi vyote na maji taka tupeleke sehemu moja mahususi ambapo tutaifadhi ardhi yetu isaje vinyesi

Je wewe umeshawhi kulitafakari hili?

Mwambie kiongozi wako aone aibu, nchi hii itajaa vinyesi kila mahali.

Nimemaliza
Hama hapo Tandale
 
Hata nyumba zilizopo mjini ambazo zina makaburi ya familia zitakuja kuwa shida baadae ambapo itabidi katazo la kuzikia watu majumbani litakapotolewa na serikali
 
tutakula sana samaki waliofugwa kwenye hivo vinyesi , i swear
 
Inahitaji kujipanga sana, ingawa ardhi inahifadhi vitu vingi nyaza za simu, mabomba ya mafuta, mabomba ya maji safi, nyaya za internet, nyaya za umeme, mabomba ya maji taka n.k

Mabomba ya majitaka yanategemea sana mteremko, ni tofauti na maji safi yanayoletwa kwa presha; kwa mazingira hayo italazimu katika uchimbaji wa hizo njia waangalie mteremko na wakwepeshe baadhi ya miundo mbinu, na kama itakuwa ni maazimio kwa maeneo yote, nadhani utakuwa umeona picha ya gharama itakavyokuwa.​
Hata maji taka pump zinafungwa kuyapeleka sehemu yanayotakiwa kufika.
 
Hii inchi ina utajiri wa vinyesi, yaani kila kaya ina hifadhi kubwa ya kinyesi au ghala la kinyesi. Tafsiri ya hili jambo ni nini, yaani nchi nzima imetapakaa vinyesi

Tufanyaje basi, tukusanye vinyesi vyote na maji taka tupeleke sehemu moja mahususi ambapo tutaifadhi ardhi yetu isaje vinyesi

Je wewe umeshawhi kulitafakari hili?

Mwambie kiongozi wako aone aibu, nchi hii itajaa vinyesi kila mahali.

Nimemaliza
Jamii forum kuna watu ni cream grade one ya hii website iq zao ,akili zao , uzi zao , mawazo yao

Afu kuna grade ya kati hawa hawa atleast iq zao wana piga nyuzi kali pia

Kuna makapi ya jamii forum kama huyu mwandishi huwa wanaanzisha uzi hata kama huna manufaaa mara nyigi uzi unakuwa mfupi kama status ya whatsapp afu full pumba ....makapi ya jamii forum siku hizi yapo mengi sana
 
Huwa kuna maeneo yanayotengwa (mabwawa) kwa ajili ya kuhifadhi hivyo vinyesi pale ambapo makaro/mashimo yetu ya majumbani yanapokuwa yamejaa.
Sijajua, wanapopeleka kwenye hayo mabwawa huwa wanafanyia nini; ingawa inaweza pia kutumika kuzalisha nishati, mbolea.​
Kwenye hayo mabwawa Huwa wanafuga samaki (kambare na perege walionona)
 
Hii inchi ina utajiri wa vinyesi, yaani kila kaya ina hifadhi kubwa ya kinyesi au ghala la kinyesi. Tafsiri ya hili jambo ni nini, yaani nchi nzima imetapakaa vinyesi

Tufanyaje basi, tukusanye vinyesi vyote na maji taka tupeleke sehemu moja mahususi ambapo tutaifadhi ardhi yetu isaje vinyesi

Je wewe umeshawhi kulitafakari hili?

Mwambie kiongozi wako aone aibu, nchi hii itajaa vinyesi kila mahali.

Nimemaliza
Kwa mtazamo wangu, kama chemba na mashimo yamewekwa vizuri, hakuna kuvuja au harufu, basi tuko salama, na hata magonjwa yatadhibitiwa. Likijaa kuna jinsi ya kulicheua, yaani kumvuta takataka nje, kutakuwa na shimo dogo yanamwagwa huko, yanatiwa chemikali Fulani, hutajua kama maji taka yamemwagwa hapo. Au gari za maji taka zinavuta na sijui wanakwenda kutupa wapi, na hapo natia shaka kama kweli zinahifadhiwa bila ya hatari ya kusababisha magonjwa.
 
Back
Top Bottom