MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Sewerage system ndiyo suluhisho, hakuna haja ya kuchimba mashimo ya vyoo na kuhifadhi vinyesi majumbaniHuwa kuna maeneo yanayotengwa (mabwawa) kwa ajili ya kuhifadhi hivyo vinyesi pale ambapo makaro/mashimo yetu ya majumbani yanapokuwa yamejaa.
Sijajua, wanapopeleka kwenye hayo mabwawa huwa wanafanyia nini; ingawa inaweza pia kutumika kuzalisha nishati, mbolea.
Arusha ipo sehemu ya kuhifadhia vinyesi.Hii inchi ina utajiri wa vinyesi, yaani kila kaya ina hifadhi kubwa ya kinyesi au ghala la kinyesi. Tafsiri ya hili jambo ni nini, yaani nchi nzima imetapakaa vinyesi
Tufanyaje basi, tukusanye vinyesi vyote na maji taka tupeleke sehemu moja mahususi ambapo tutaifadhi ardhi yetu isaje vinyesi
Je wewe umeshawhi kulitafakari hili?
Mwambie kiongozi wako aone aibu, nchi hii itajaa vinyesi kila mahali.
Nimemaliza
Sewerage system ndiyo suluhisho, hakuna haja ya kuchimba mashimo ya vyoo na kuhifadhi vinyesi majumbani
Nafikiri kwa manufaa ya matumizi mazuri ya ardhi, hiyo ndiyo option sahihi, nchi haiwezi kuwa na deposit ya vinyesi kila mahaliKuna badhi ya maeneo hii mifumo ipo, na usimamiwa na idara ya maji safi na maji taka, na katika bili za maji za kila mwezi hiyo huduma inakuwa inalipiwa.
Pale itokeapo njia kuziba inabidi idara husika ifanye kazi ya kuzibua hiyo mitaro.
kwa mazingira ya kawaida kama hii huduma itaeneo maeneo yote iwe ya miinuko, mabonde n.k itakuwa ni gharama sana ku usimamia, nadhani ndio maana ni sehemu tu chache ndio zimeweza kufikiwa.
Nafikiri kwa manufaa ya matumizi mazuri ya ardhi, hiyo ndiyo option sahihi, nchi haiwezi kuwa na deposit ya vinyesi kila mahali
Hama hapo TandaleHii inchi ina utajiri wa vinyesi, yaani kila kaya ina hifadhi kubwa ya kinyesi au ghala la kinyesi. Tafsiri ya hili jambo ni nini, yaani nchi nzima imetapakaa vinyesi
Tufanyaje basi, tukusanye vinyesi vyote na maji taka tupeleke sehemu moja mahususi ambapo tutaifadhi ardhi yetu isaje vinyesi
Je wewe umeshawhi kulitafakari hili?
Mwambie kiongozi wako aone aibu, nchi hii itajaa vinyesi kila mahali.
Nimemaliza
Hata nyumba zilizopo mjini ambazo zina makaburi ya familia zitakuja kuwa shida baadae ambapo itabidi katazo la kuzikia watu majumbani litakapotolewa na serikaliHii inchi ina utajiri wa vinyesi, yaani kila kaya ina hifadhi kubwa ya kinyesi au ghala la kinyesi. Tafsiri ya hili jambo ni nini, yaani nchi nzima imetapakaa vinyesi
Tufanyaje basi, tukusanye vinyesi vyote na maji taka tupeleke sehemu moja mahususi ambapo tutaifadhi ardhi yetu isaje vinyesi
Je wewe umeshawhi kulitafakari hili?
Mwambie kiongozi wako aone aibu, nchi hii itajaa vinyesi kila mahali.
Nimemaliza
Hata maji taka pump zinafungwa kuyapeleka sehemu yanayotakiwa kufika.Inahitaji kujipanga sana, ingawa ardhi inahifadhi vitu vingi nyaza za simu, mabomba ya mafuta, mabomba ya maji safi, nyaya za internet, nyaya za umeme, mabomba ya maji taka n.k
Mabomba ya majitaka yanategemea sana mteremko, ni tofauti na maji safi yanayoletwa kwa presha; kwa mazingira hayo italazimu katika uchimbaji wa hizo njia waangalie mteremko na wakwepeshe baadhi ya miundo mbinu, na kama itakuwa ni maazimio kwa maeneo yote, nadhani utakuwa umeona picha ya gharama itakavyokuwa.
Jamii forum kuna watu ni cream grade one ya hii website iq zao ,akili zao , uzi zao , mawazo yaoHii inchi ina utajiri wa vinyesi, yaani kila kaya ina hifadhi kubwa ya kinyesi au ghala la kinyesi. Tafsiri ya hili jambo ni nini, yaani nchi nzima imetapakaa vinyesi
Tufanyaje basi, tukusanye vinyesi vyote na maji taka tupeleke sehemu moja mahususi ambapo tutaifadhi ardhi yetu isaje vinyesi
Je wewe umeshawhi kulitafakari hili?
Mwambie kiongozi wako aone aibu, nchi hii itajaa vinyesi kila mahali.
Nimemaliza
Kwenye hayo mabwawa Huwa wanafuga samaki (kambare na perege walionona)Huwa kuna maeneo yanayotengwa (mabwawa) kwa ajili ya kuhifadhi hivyo vinyesi pale ambapo makaro/mashimo yetu ya majumbani yanapokuwa yamejaa.
Sijajua, wanapopeleka kwenye hayo mabwawa huwa wanafanyia nini; ingawa inaweza pia kutumika kuzalisha nishati, mbolea.
Kwa mtazamo wangu, kama chemba na mashimo yamewekwa vizuri, hakuna kuvuja au harufu, basi tuko salama, na hata magonjwa yatadhibitiwa. Likijaa kuna jinsi ya kulicheua, yaani kumvuta takataka nje, kutakuwa na shimo dogo yanamwagwa huko, yanatiwa chemikali Fulani, hutajua kama maji taka yamemwagwa hapo. Au gari za maji taka zinavuta na sijui wanakwenda kutupa wapi, na hapo natia shaka kama kweli zinahifadhiwa bila ya hatari ya kusababisha magonjwa.Hii inchi ina utajiri wa vinyesi, yaani kila kaya ina hifadhi kubwa ya kinyesi au ghala la kinyesi. Tafsiri ya hili jambo ni nini, yaani nchi nzima imetapakaa vinyesi