mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
Wana JF,
Kumekuwepo na malalamiko ya mara kwa mara kwa mlimbwende wetu, ambaye kwa sasa ni muigizaji maharufu ambaye nyota yake inawaka sana mpaka kufikia kiasi cha mtu wa jilani ambaye ni mwanamziki nguli kuomba support yake naye aweze kujulikana kimataifa zaidi. yote kwa yote mlimbwende huyu anaonekana kuwa na uzuni sana kwa kutojaliwa mtoto kwani umri wa kuwa mzazi umefika miaka inaenda aoni kitu, kwa ushauri naona afuate nyayo za rafiki yake kipenzi waliyekuwa wametengana kwa muda , sababu rafiki yake kusapoti mzee wa kuwatema kama bigjee sukari ya walembo, naye amteue dansa anayeweza kukata mauno mpaka kufikia kulikojificha na kuweka zawadi aliyoitaka siku nyingi, inaonekana anaowapenda wanaremba sana kwenye shughuli au wanapagawa na uzuri wake wanamaliza mapema kabla ya yeye kufungua geji ya pili. mie naona amtafute yule aliyerudi twanga siku za karibuni akiambatana namzee wa tingatinga.