chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Leo Jaji Mkuu ameapisha mawakili wapya. muda wa Jaji Mkuu kushika mamlaka hayo umeisha June 2023. Kwa mujibu wa sheria, mawakili huapishwa na Jaji Mkuu.
Mawakili walioapishwa leo wameapishwa na mtu ambaye si Jaji Mkuu, na tuna haki ya kuupinga uwakili wao mahakamani kwa kigezo kwamba wameapishwa na mtu ambaye si Jaji Mkuu.