Kwa kuwa Jaji Mkuu muda wake wa kushika nafasi hiyo imeisha June 2023, mawakili walioapishwa leo, uwakili wao sio halali kisheria

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Leo Jaji Mkuu ameapisha mawakili wapya. muda wa Jaji Mkuu kushika mamlaka hayo umeisha June 2023. Kwa mujibu wa sheria, mawakili huapishwa na Jaji Mkuu.

Mawakili walioapishwa leo wameapishwa na mtu ambaye si Jaji Mkuu, na tuna haki ya kuupinga uwakili wao mahakamani kwa kigezo kwamba wameapishwa na mtu ambaye si Jaji Mkuu.
 
Hapana mkuu, hapa katiba inampa mamlaka "Rais" ya kumuongezea muda wakati bado anapitia hadidu na rejea ili kumtunuku nafasi hiyo ambae atamuona anafaa.
 
Je, Ibara au Kifungu gani cha Katiba ya Tz inayompa mamlaka Rais wa nchi kumuongezea muda wa kutawala Jaji Mkuu???? Unaweza kuvitaja??
 
Hapana mkuu, hapa katiba inampa mamlaka "Rais" ya kumuongezea muda wakati bado anapitia hadidu na rejea ili kumtunuku nafasi hiyo ambae atamuona anafaa.
Tatizo Watu Wana haraka sana!!
 
Alisema ukweli sn
Yes, Rostam Aziz amesema ukweli tupu, tena ukweli mchungu.Mahakama zetu ni Kangaroo Courts, hilo halina ubishi.
Kukanusha kwake baadaye ni mbinu sahihi ya kidiplomasia ya ku-deal na tawala za kidikteta ambazo pia ni tawala za kinafiki ktk dunia hii. Alichofanya ni kutimiza ile kanuni ya "waheshimu wajinga ili uepukane na mabalaa", kwa sababu wajinga yao ni mabalaa.
 
Ni aibu tupu kwanza mahakama sahivi haina Jaji Mkuu
 
Back
Top Bottom