ndio hicho ni kiapo haramu ,hata Rais akiapishwa Leo ni hatari maana saizi Hana mamlaka tena yupo tu kama kivuliJe, unataka kusema kwamba umeapishwa kiapo haramu?
So, what should be done?ndio hicho ni kiapo haramu ,hata Rais akiapishwa Leo ni hatari maana saizi Hana mamlaka tena yupo tu kama kivuli
wananchi kwenda mahakamani kudai huyu Rais anavunja katibaSo, what should be done?
Mahakama zipi hizo? Hizi hizi Kangaroo Courts za hapa Tz au The Hague??wananchi kwenda mahakamani kudai huyu Rais anavunja katiba
Je, Ibara au Kifungu gani cha Katiba ya Tz inayompa mamlaka Rais wa nchi kumuongezea muda wa kutawala Jaji Mkuu???? Unaweza kuvitaja??Hapana mkuu, hapa katiba inampa mamlaka "Rais" ya kumuongezea muda wakati bado anapitia hadidu na rejea ili kumtunuku nafasi hiyo ambae atamuona anafaa.
Kwani yeye Rostam anasemaje kuhusu Mahakama ya Kisutu!!??Mahakama zipi hizo? Hizi hizi Kangaroo Courts za hapa Tz au The Hague??
Tatizo Watu Wana haraka sana!!Hapana mkuu, hapa katiba inampa mamlaka "Rais" ya kumuongezea muda wakati bado anapitia hadidu na rejea ili kumtunuku nafasi hiyo ambae atamuona anafaa.
Alisema ukweli snKwani yeye Rostam anasemaje kuhusu Mahakama ya Kisutu!!??
Yes, Rostam Aziz amesema ukweli tupu, tena ukweli mchungu.Mahakama zetu ni Kangaroo Courts, hilo halina ubishi.Alisema ukweli sn
Ni aibu tupu kwanza mahakama sahivi haina Jaji MkuuYes, Rostam Aziz amesema ukweli tupu, tena ukweli mchungu.Mahakama zetu ni Kangaroo Courts, hilo halina ubishi.
Kukanusha kwake baadaye ni mbinu sahihi ya kidiplomasia ya ku-deal na tawala za kidikteta ambazo pia ni tawala za kinafiki ktk dunia hii. Alichofanya ni kutimiza ile kanuni ya "waheshimu wajinga ili uepukane na mabalaa", kwa sababu wajinga yao ni mabalaa.
Absolutely.Ni aibu tupu kwanza mahakama sahivi haina Jaji Mkuu
Ni hatari snAbsolutely.
"Changamoto kubwa zaidi katika ulimwengu wa sasa ni kwamba watu wenye akili nzuri hawataki kujihusisha na siasa, hivyo kuwapa mamlaka watu wasio na akili kuwaongoza watu wenye akili na watu wasiokuwa na akili".
By Donald Trump.