ningejizuia kuchukua nafasi hiyo kwa sasa,Sekta ya Kilimo imekuwa ikitajwa kuwa moja kati ya maeneo muhimu zaidi katika Uchumi wa nchi. Lakini kwa miaka mingi bado eneo kubwa la Ardhi ya Tanzania halijatumika.
Chukulia umeteuliwa kuongoza Wizara hiyo kuanzia leo, unafikiri ni mambo gani mapya utafanya tofauti na ilivyo sasa?
Pia Soma: Leo ukipewa nafasi ya kuwa Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira utafanya nini kuongeza Ajira nchini?
Hakuna Wizara imeshindwa kutekeleza Mipango yake kama Wizara hiyo, inaongozwa na mtu anayependa kufanya Sisa kwenye mambo ya Msingi, hakuna hata Moja alilofanya kwenye kilimo.ningejizuia kuchukua nafasi hiyo kwa sasa,
kwani waziri Hussein Bashe, Chini ya Rais, Comrade Dr Samia Suluhu Hassan, wameweka mipango mikakati mbadala, muzuri sana na wanafanya uwekezaji na kutenga fedha ya kutosha sana kuchochea mageuzi katika sekta hii muhimu sana ya kilimo nchini, ili kukuza ajira, uzalishaji wa chakula, malighafi viwandani, uchumi n.k🐒
sitaki tamaa wala kuwa setback factor ya uelekeo huu mzuri na wenye matumaini kwenye sekta ya kilimo ambao serikali tayari imechukiu🐒