Haya ni maoni yangu, usajili was Chadema kama Chama cha Siasa ufutwe au usitishwe kwa kuwa shughuli zake kwa tuhuma zilizopo, ni za kigaidi.
Vyombo vya dola vikifanyie ukaguzi was kina, na kwa kioindi cha ukaguzi huo,usajili wao kama chama cha siasa usimamishwe.
Pia, kama ambavyo mtumishi wa umma anavyosimamishwa kazi akiwa na tuhuma za jinai, pia usajili was chadema ufutwe mpaka pale mahakama itakapowasafisha
Umesoma PGO? Ametuhumiwa Mbowe as Mbowe na sio Chadema. Tuache nyegeHaya ni maoni yangu, usajili was Chadema kama Chama cha Siasa ufutwe au usitishwe kwa kuwa shughuli zake kwa tuhuma zilizopo, ni za kigaidi.
Vyombo vya dola vikifanyie ukaguzi was kina, na kwa kioindi cha ukaguzi huo,usajili wao kama chama cha siasa usimamishwe.
Pia, kama ambavyo mtumishi wa umma anavyosimamishwa kazi akiwa na tuhuma za jinai, pia usajili was chadema ufutwe mpaka pale mahakama itakapowasafisha
hii njia yako ni ndefu, peleka mswaada bungeni futilia mbali sheria ya vyama vingi - turudi kwenye chama kimoja ili tujenge nchi - Simple.Haya ni maoni yangu, usajili was CHADEMA kama Chama cha Siasa ufutwe au usitishwe kwa kuwa shughuli zake kwa tuhuma zilizopo, ni za kigaidi.
Vyombo vya dola vikifanyie ukaguzi was kina, na kwa kipindi cha ukaguzi huo,usajili wao kama chama cha siasa usimamishwe.
Pia, kama ambavyo mtumishi wa umma anavyosimamishwa kazi akiwa na tuhuma za jinai, pia usajili wa CHADEMA ufutwe mpaka pale mahakama itakapowasafisha
Halafu jifunze kuandika wa vizuri badala ya was.....Haya ni maoni yangu, usajili was CHADEMA kama Chama cha Siasa ufutwe au usitishwe kwa kuwa shughuli zake kwa tuhuma zilizopo, ni za kigaidi.
Vyombo vya dola vikifanyie ukaguzi was kina, na kwa kipindi cha ukaguzi huo,usajili wao kama chama cha siasa usimamishwe.
Pia, kama ambavyo mtumishi wa umma anavyosimamishwa kazi akiwa na tuhuma za jinai, pia usajili wa CHADEMA ufutwe mpaka pale mahakama itakapowasafisha
Tofautisha Chadema na Mbowe we Ki/ChinembeHaya ni maoni yangu, usajili was CHADEMA kama Chama cha Siasa ufutwe au usitishwe kwa kuwa shughuli zake kwa tuhuma zilizopo, ni za kigaidi.
Vyombo vya dola vikifanyie ukaguzi was kina, na kwa kipindi cha ukaguzi huo,usajili wao kama chama cha siasa usimamishwe.
Pia, kama ambavyo mtumishi wa umma anavyosimamishwa kazi akiwa na tuhuma za jinai, pia usajili wa CHADEMA ufutwe mpaka pale mahakama itakapowasafisha
Sikuelewi baba BOGA, anesimamishwa hapo ni nani MTUMISHI au UMMA unasimamishwa.Haya ni maoni yangu, usajili was CHADEMA kama Chama cha Siasa ufutwe au usitishwe kwa kuwa shughuli zake kwa tuhuma zilizopo, ni za kigaidi.
Vyombo vya dola vikifanyie ukaguzi was kina, na kwa kipindi cha ukaguzi huo,usajili wao kama chama cha siasa usimamishwe.
Pia, kama ambavyo mtumishi wa umma anavyosimamishwa kazi akiwa na tuhuma za jinai, pia usajili wa CHADEMA ufutwe mpaka pale mahakama itakapowasafisha
Kwanza, katika sheria zetu, mtuhumiwa anahesabiwa hana hatia, mpaka mahakama imtie hatiani. INNOCENT UNTIL PROVED GUILTY.Haya ni maoni yangu, usajili was CHADEMA kama Chama cha Siasa ufutwe au usitishwe kwa kuwa shughuli zake kwa tuhuma zilizopo, ni za kigaidi.
Vyombo vya dola vikifanyie ukaguzi was kina, na kwa kipindi cha ukaguzi huo,usajili wao kama chama cha siasa usimamishwe.
Pia, kama ambavyo mtumishi wa umma anavyosimamishwa kazi akiwa na tuhuma za jinai, pia usajili wa CHADEMA ufutwe mpaka pale mahakama itakapowasafisha
Ndio PGO inavyosema?Hao ni kuku na vifaranga, huwezi tofautisha
Neno "chemistry" linasomwa "kemistri" kwa mujibu wa kamusi!Nimependa jina lako
CHINEMBE
shule za kata mkuuHivi haya mawazo tope tope huwa yanatifuliwa tokea wapi ? Shule za kata , mseto au private ?
Huko ndipo akina msajili na wazee wa PGO wanapo lenga, wamekutuma kufikisha ujumbe Kiana au, ni mmoja wa waratibu wa mpango wenyewe.Haya ni maoni yangu, usajili was CHADEMA kama Chama cha Siasa ufutwe au usitishwe kwa kuwa shughuli zake kwa tuhuma zilizopo, ni za kigaidi.
Vyombo vya dola vikifanyie ukaguzi was kina, na kwa kipindi cha ukaguzi huo,usajili wao kama chama cha siasa usimamishwe.
Pia, kama ambavyo mtumishi wa umma anavyosimamishwa kazi akiwa na tuhuma za jinai, pia usajili wa CHADEMA ufutwe mpaka pale mahakama itakapowasafisha
Ila ya USSR kushangilia na kufurahia ubambikiaji ni taharuki.Taharuki ya gaidi kufungwa nayo ni taharuki
USSR