Kwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA anatuhumiwa kwa ugaidi, usajili wa CHADEMA usitishwe mpaka pale Mahakama itakapotoa uamuzi

Huko ndipo akina msajili na wazee wa PGO wanapo lenga, wamekutuma kufikisha ujumbe Kiana au, ni mmoja wa waratibu wa mpango wenyewe.
Sijatumwa, ila vyama vyenye asili ya ugaidi visiruhusiwe
 
Mwenyekiti wa CCM Magufuli alipofariki ilibidi usajili wa CCM usitishwe.
 
Neno "chemistry" linasomwa "kemistri" kwa mujibu wa kamusi!
Sasa tusaidia hiyo ID inasomwaje?
Watu wengine ukiangalia ID zao basi ni direct proportional na ubongo wao unavyofikiri!
Linasomeka "shinembe" Kama huko Bangladesh 🏌️🏌️
 
Akili za MaCCM hazina akili kabisa ,vipi CCM ya GAIDI Hamza aliukumiwa kifo na PoliCCM, ifutwe au?!
 
Kwahiyo mtuhumiwa ni Mbowe au CHADEMA? Kwa akili zako ni sawa na kusema kwakuwa mwenyekiti wa CCM alifariki hivyo na chama kifutwe kwakuwa mwenyekiti wake kafa. Hizo ni akili za mtu mjinga kuliko wajinga wote duniani.
 
Akili za CCM wanafikiri kuifuta CDM ndiyo itaua vuguvugu la mageuzi nchini.
 
Hivi haya mawazo tope tope huwa yanatifuliwa tokea wapi ? Shule za kata , mseto au private ?
Pia umasikini wa kipato wa familia, huchangia sana kwani watoto wakati wa ukuaji hupata lishe duni, hivyo kupelekea ubongo wa watoto kutokuwa vizuri na hatimaye kusababisha mtoto huyo akiwa mkubwa kuwa na matatizo ya kiakili pamoja na "umasikini wa akili".
 
Sijatumwa, ila vyama vyenye asili ya ugaidi visiruhusiwe
Vyama vyenye asili ya kishetani navyo jee!??
Chama Cha Majambazi ni jumuiya ya kishetani na imejaa uovu wote uujuao.
Kifutwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…