"Kwa kuwa umepata ulichokuwa unakitaka"

Hapo hajiamini na ana wasi wasi kuwa ana mapungufu ndo maana. Maana naweza kukuacha hata kama nilichokuwa nakitafuta nimekipata ila nikaona duh haya mapungufu sitaweza bora niondoke. Na sio lazima iwe kile nilichokitaka nimekipata
 
Hata mimi nashangaa, kuna wakati utakuta misichana kibao inakutafuta mpaka unaamua kuwapiga chenga kwa jinsi walivyo wengi, uokoe nafsi yako, sasa mtu anajileta kwako, ukimtafuna af ukasepa zako, ndo hayo maneno yanaanza ooh, unanidanganya, ooh, umepata ulichokuwa unataka etc.
 
Hivi kwa nini pale uhusiano unapovunjika hawa wenzetu hukimbilia kutoa kauli hii:"............kwa kuwa umepata ulichokuwa unakitaka...".
Wenzenu kina nani?
 
Pumbatupu, binti na mwanaume ni tofauti kwenye kesi kama hii.....
 
Noo mi nabisha kwenye swala muda we mwanaume ukiamua hata leo unakuwa na uhusiano mwingine baada ya kunitupa kule, je mimi binti mpaka nipone hilo jeraha kwanza yataka muda, mmh umenitumia ndio nimejifungia kwako miaka mi2 yani hata wachumba wengine naweza kuwakataa coz of you, ww hata ukiachwa bana mwanaume sio sawa na mwanamke bana.....
 

Mhhh mjukuu,

Naona hapoo umewaongezea jamaa neno jingine?

Kwani huwa ni kukutumia au kutumiana?
 
Ha ha ha babu tumezoea hivyo bana kwamba viumbe vya kiume vinatumia vya kike, ndo maana mwanaume anaweza kuwa hakupendi lakini anaamua kukutumia tu, akimaliza shida zake anakutupa kuke, ingawa na wanawake wa2miaji wapo, lkn mara nyingi wanawake wanakuwa warahisi kupenda na kuweka malengo ya mbali ktk mahusiano.
 
Mwanamke hawezi kumtumia mwanaume?
 
Afadhali eiyer, kabisa kabisa viumbe wa kiume wanatumia wanawake halafu wanatupa kule, bila kujali muda, na kuzeeka kwake. Ndo maana wana ujasiri wakusema kula mzigo halafu bwaga huko. Damn wanaume msiojali wanawake, hata kama kajileta kama una utu na na huna malengo nae muache dada wa watu. Mwingine anafikia hata kumpachika mimba halafu anamwambia katoe bila hata kufikiria hathari yake, kwa uhai na afya ya huo binti. Mshindwe wanaume wa hivi.....
 

Mama ushauri hapa kwenye red umeongea,huko kwingine sina uhakika sana
 
Hivi kwa nini pale uhusiano unapovunjika hawa wenzetu hukimbilia kutoa kauli hii:"............kwa kuwa umepata ulichokuwa unakitaka...".
Huwa hawajiamini, hata kama wanatabia mbaya huwa hawa'admit wameharibu, mawazo yao siku zote wanadhani wanakimbiwa kwasababu wameishamegwa!
 
Eiyer mi naonaga wanaume wana akili sana, haiwezekani wakatumiwa tu hivi hivi, kila atakacho kitoa anajua ni wapi atakifidia, mmmh mwanaume atakupa hata gari lakini ujue mahesabu yake kashayapiga na lazima ulipe tuuu. Mmmh umtumie mwanaume hii msichana asijidanganye. Unajengewa nyumba unatumiwa hadi tigo.....mmmh wanaume fire of dreaming far.....
 
HTML:

Kipi kikubwa hapo, Nyumba au Tigo!!
 
Saharavoice mambo, sasa Sahara hapo unaona je unatumiwa hadi hiyo mitandao halafu unatupwa kule......ha ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…