Ni nani atabisha kuwa kwa kuwepo "haki" tu katika uchaguzi huu tunapita salama?
Haki itatupa viongozi bora.
Haki itatupa viongozi chaguo la watu.
Haki itatufanya tuheshimike tena.
Haki itatufanya mshikamano wetu kama watanzania urudi.
Haki itatufanya amani iendelee kutamalaki sasa, wakati wa uchaguzi na hata baada ya uchaguzi.
Nk, nk.
Ni kweli yote haya hatuyaoni au ndiyo tena la kuvunda halikuwahi kuwa na ubani?