johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nimeona kupitia Jambo TV Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Ziwa Victoria mh Wenje akidai Mabango yenye picha za Rais Samia yaliyoko barabarani yameigharimu Serikali tsh 300 Bilioni Fedha za Walipa kodi.
Binafsi nauita huu ni Uwongo na Uzushi uliotukuka.
Wenje akamatwe na kuhojiwa, ndio ushauri wangu.
Mungu ni mwema wakati wote.
Binafsi nauita huu ni Uwongo na Uzushi uliotukuka.
Wenje akamatwe na kuhojiwa, ndio ushauri wangu.
Mungu ni mwema wakati wote.