Kwa kuzusha Serikali umetumia Tsh 300 bilioni kutengeneza Mabango ya Rais Samia nashauri Wenje akamatwe na kuhojiwa

wamechafua miji. Jingine eti liko pembeni ya la msanii harmonize. Kuna mkoa wameweka bango lake kando ya tangazo la soda za mirinda limeandikwa tamu yangu
 
Tuambie Wewe ni kiasi gani kimetumika
 
Tembea Nchini uyaone mabango ,usikae kijinini kwenu unakula ugali wa shikamo kwa wazazi.
 
Haya, sio bilioni 300.

Je yamegharimu shs ngapi?
Je ilikuwa muhumu kuyaweka?

Upuuzi huu ulianza awamu ya Mwendazake.
 
Tuambie kwa takwimu ulizonazo , yamegharimu bilioni ngapi!?

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
sina haja ya kujua yametumia bil ngap ila kw uelew wk mtoa maada hayo mabango ya rais yanafaid gn kwko

Kuna mambo mango nchi hii yayohitaj pesa Tena ya msng kabsa !! Akil mgando km zakwak hazsaidii nch
 
Haya, sio bilioni 300.

Je yamegharimu shs ngapi?
Je ilikuwa muhumu kuyaweka?

Upuuzi huu ulianza awamu ya Mwendazake.
Uongo mabango ya jpm yakiyopo ni yale kampen ni mengine yaliwekwa na wabunge ili walpate nguvu kwenye majimbo yao .jpm hakuwahi kuwwka mabango ya kimkakati katikati ya msimu kama anavyo fanya huyu bibi
 
Uongo mabango ya jpm yakiyopo ni yale kampen ni mengine yaliwekwa na wabunge ili walpate nguvu kwenye majimbo yao .jpm hakuwahi kuwwka mabango ya kimkakati katikati ya msimu kama anavyo fanya huyu bibi
Usibishe tuu.

Ulitembelea Dodoma, Manyara, Arusha...kabla ya uchafuzi wa 2020?
Kwenye lile igizo la October 2020, je aliruhusu hata wagombea wengine kuweka mabango yao?

Kwa nini mnajisahaulisha na kujitia upofu kwenye mambo ya wazi kama jua angavu?
 
Kwanza hiyo ni kampeni ya kijanjajanja kabla ya muda wa uchaguzi mkuu, lakini kama ukubaliki ukubaliki tu!
 
Wewe mwenye takwimu sahihi tuambie zimetumika bilioni mia ngapi?
 
Mabango ya Rais Samia Ni mengi sana ila kwa Kweli Hakuna mtanzania mwenye muda wa kuyaangalia wala hayana ushawishi Hata kidogo.
Hayo ni mpango wa upigaji tu na Samia kwa kuyakalia kimya ina maana amebariki huu ubadhirifu wa kodi zetu
 
Akili za kijima na uoga za awamu ya tano; uongozi wa kamata kamata!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…