Kawaida mkuu.
Uliona lini shabiki wa Liverpool akaiombea mema Man U?
Uliona lini shabiki wa Madrid akaiombea mema Barca au Atletico?
Vipi kuhusu Man City na Man U? Nk..
Vivyo hivyo USITEGEMEE shabiki wa Simba kuitakia mema Yanga.
KWA NINI? Hawa ni wapinzani, hizo ni derby & zina raha yake.
Sasa mtu anaanza kulalama mambo ya UZALENDO, hakuna issue za uzalendo kwenye CLUB level. Uzalendo ni kwenye Timu ya Taifa tu.
Iwe mmecheza vizuri ama la, FURAHA yetu ni kuwa mmetolewa, mitaa imekuwa tulivu & tulilala kwa amani kabisa.
Asanteni Waarabu ... Kama isingelikuwa ninyi, tungeishije mitaani sisi mikia!?