Kwa kweli HONGERENI YANGA...

Kwa kweli HONGERENI YANGA...

Tatizo la Yanga wamekua wakicheza mchezo mzuri nje ya nchi, but endapo watapiga mpira ule nje ndani nina uhakika watafika mbali sana.
 
WAMEFANYA TUSICHOKUWA TUMETARAJI. SIO TEAM YANGU BUT BRAVO YANGA. KEEP IT UP.MWISHO WA SIKU WOTE TUTAJIVUNIA UTANZANIA WETU.
 
Acheni kujiliwaza Kufa ni Kufa tu haijalishi umerogwa umechinjwa umezama baharini naaliyeza vizuri zaidi ya mwenzake ndie aliyeshinda Watanzania Kwa unafiki no balaa
 
Kawaida mkuu.

Uliona lini shabiki wa Liverpool akaiombea mema Man U?

Uliona lini shabiki wa Madrid akaiombea mema Barca au Atletico?

Vipi kuhusu Man City na Man U? Nk..

Vivyo hivyo USITEGEMEE shabiki wa Simba kuitakia mema Yanga.

KWA NINI? Hawa ni wapinzani, hizo ni derby & zina raha yake.

Sasa mtu anaanza kulalama mambo ya UZALENDO, hakuna issue za uzalendo kwenye CLUB level. Uzalendo ni kwenye Timu ya Taifa tu.

Iwe mmecheza vizuri ama la, FURAHA yetu ni kuwa mmetolewa, mitaa imekuwa tulivu & tulilala kwa amani kabisa.

Asanteni Waarabu ... Kama isingelikuwa ninyi, tungeishije mitaani sisi mikia!?
 
Duh hii ni kwa tanzania pekee mtu anapigwa na bado anapongezwa na sasa anakutana na mazembe sasa shirikisho
 
Hongera Yanga ,sasa tukaze buti zaidi CAF next week bado tuna nafasi
 
Haya Jerry Murro Na Ngebe, Tambo, Kashfa, Dharau Na Matusi Yake Kuwa Yanga Ni Timu Ya Kimataifa Aende Sasa Hatua Ya Makundi (16 Bora) Ya Vidume Wa Kimataifa!!
 
Jerry murro vipi TFF ilishindwa kupanga marefa? Malinzi umeiua Yanga yetu
 
Hongera kwa kucheza vizuri ? Au kwa kutoshinda mechi
 
wamisiri walifurahi utadhani wameifunga Barcelona.....uliona eeh, utadhani hawakuwa na uhakika kushinda....duh, uwanja ulilipuka shangwe utadhani ilikuwa fainali....kumbe wameanza kuielewa Yanga!!! ila tujifunze timu zetu zikicheza home uwanja taifa zifanyage figisu za kutosha na kufunga bao nyingi
 
Huwezi kumtoa mwarabu kwa goli moja au mbili nyumbani.Niwapongeze kwa kuzui kupigwa nyingi.Yanga bado sana,jipangeni tuwasifu na si matusi ya wamchangani,matopeni sijui mikia.mpira ni magoli hivyo record bado hazijavunjwa.
 
Tuliupenda mno 'ukimataifa' lakini 'ukimataifa' haukutupenda..! Eee mola wetu ! Nini hiki kinatokea..ina maana tutaendelea kusema ilibaki kidogo tu mpaka lini?Rekodi zitabaki tumekufa kiume mpaka lini..!Kuna jambo zito hapa jinsi TFF inavyoendesha mpira TZ yawezekana ni tatizo ..!

mkuu hata Spain walikuwa wakibezwa hivyo kwenye kombe la dunia toka nillivyoanza kutazama kombe la dunia 1994 kwamba Ni timu yenye mategemeo makubwa bila mafanikio Kila mashindano ya dunia yakifika, lakini ilikuja kufanya kweli.
kila kitu kina Mara ya kwanza usishangae siku yanga akabeba kombe la caf.
al ahly ukiwauliza wakutajie timu ngumu afrika yanga itakuwepo, zamani tulizoea waarabu wakishinda 5-0, 4-0, siku hizi wanacheza mechi hawana uhakika kama watashinda hata goli Lao la ushindi walivyoshangilia wapenzi walikuwa wameshakata tamaa wanasubiri penalti.
Huyu mwalimu mzungu baada ya yanga kutolewa na al ahly kwa penati mwaka ule nilisema asitolewe na kweli viongozi walimbakiza na sasa nasema kwake Ni yanga tu na sio kwingine amegeuza timu kwa 100%, mechi ya kwanza yanga ingemaliza mchezo kama sio umakini WA wamaliziaji lakini mbinu za mwalimu zilifanya kazi nzuri.
 
Ukweli kabisa yanga walicheza.....! Naamini katika Shirikisho wataikoma hasa hao waangola
 
Young Africans, Ranking and Statistics - FootballDatabase
ab2d1cfc8398485df710a72a1ebf7966.jpg
 
Back
Top Bottom