NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Ndio mpira ulivyo,lazima mmoja asonge mbele.Simba wametolewa na Mwadui ya South Africa
statistics hazionyeshi kama wametengeneza chance 100. hiyo kitu ni impossible kuifikiaChance 100 unafunga goal 1 unawapongeza?
Utopolo hawajielewi kabisastatistics hazionyeshi kama wametengeneza chance 100. hiyo kitu ni impossible kuifikia
Mugalu ni zezeta wa timu, sio shida sana, tatizo la kocha ila kwa nafasi tulizokuwa nazo leo, Kaizer walivyotepeta, kulikuwa na haja gani ya mtu kujiangisha kijinga kutafuta penati? Miqquoson naye, nguvu zipi za kupiga alizonazo akaacha kutoa pas kwa watu wenye nafasi? Chama kadhalika, unapiga bila akili ili iweje?Morrison au Boko na Mugalu?
Leo kusema ukweli wachezaji wametufurahisha sana japo mimi ni Yanga. Penye ukweli lazima tuseme ukweli. Hongereni sana wana Simba.
Mlianza kwa Plateu yq Nigeria ,mkawapa na malazi ...na mengine mnajua wenyewe,ikaja ,Dynamo...tukaingia makundi mkasemaTutaaaibika...akalala Vita,akalala Al Ahly,akalala El Mereikh ...tukaongoza kundi letu kuingiaa Name Bora yw Africa ...Leo tunetoka kishujaa ...!Kwanini usiwape hongera kaizer baada ya ushindi wa goli 4-0 dhidi ya wapinzani wako?
Mpaka hapo alifikia ashukuru sana, huko mbele angekutana na wababe wenye makombe yao waarabu, aise wangekula sio chini ya goli 10. Afadhali wametolewa, taifa lingepata aibu kubwa mno
π¦π·π¦π·π¦π·π₯π₯
Mlianza kwa Plateu yq Nigeria ,mkawapa na malazi ...na mengine mnajua wenyewe,ikaja ,Dynamo...tukaingia makundi mkasemaTutaaaibika...akalala Vita,akalala Al Ahly,akalala El Mereikh ...tukaongoza kundi letu kuingiaa Name Bora yw Africa ...Leo tunetoka kishujaa ...!
Bado mnachonga ...kweli umasikini niattitude!
Tutaenda kuwachomoa kwenye lile gorofa lao lenye rangi za mboga.Kuna timu haitaingia uwanjani July .
Noted.Simba kwa sasa inatisha kama njaa, ndo maana watu fulani wakipata kijisababu haraka sana wanaweka mpira kwapani...
Chongeni mtakavyo Ila Simba ipo kwenye nane Bora ya Afrika!Akalala al ahly, kwao pia mkapigwa.
Sema al ahly sio ile tunayoijua alikua anapiga mtu goli 5. Sikuizi wamechoka
Al ahly-Wydad final
Wydad bingwa
π¦π·π¦π·π¦π·π₯π₯
Ulikuwa hujui?Kwani wameshinda?
Chongeni mtakavyo Ila Simba ipo kwenye nane Bora ya Afrika!
Kwa jitihada za nje ya uwanja kweli mpo vizuri afrikaSimba kwa sasa inatisha kama njaa, ndo maana watu fulani wakipata kijisababu haraka sana wanaweka mpira kwapani...
Bila shaka mtawaita kwenye KIDIMBWI DAY kwa kuwa wamechoka.... Sio mlete timu isiyo na kocha toka Burundi huko.Akalala al ahly, kwao pia mkapigwa.
Sema al ahly sio ile tunayoijua alikua anapiga mtu goli 5. Sikuizi wamechoka
Al ahly-Wydad final
Wydad bingwa
π¦π·π¦π·π¦π·π₯π₯