kwa kweli mtoto wa maskini atakua maskini tu

kaburu mdogo

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2011
Posts
567
Reaction score
400
mi nimemaliza chuo mwaka huu tena baada ya kusoma kwa shida sana sekondari za miaka miwili na form six mwaka mmoja maeneo ya temeke huku ndugu nilikua nakaa nao wakiona wivu kwa kujiendeleza kwa hela ya garage na maneno lukuki mf ngoja tuone kama ataenda makerere na anajifanya msomi kumbe alifeli darasa la saba,baada ya kumaliza chuo na kuanza kusaka ajira,nimejaribu kuwaomba wanisaidie lakini majibu yao ni ya kukatisha tamaa "soma kwenye magazeti na kwenye mtandao" huku nikiona ofisi zao zimetangaza nafasi za kazi nyingi na hata humu zipo na wala hajaniambia kama zipo ni mungu shukuru nimeziona leo.sasa hivi naenda kuchukua bahasha kwa kutuma maombi j3,najua sitapata maana hataki nimfikie na atajua nimeomba kwenye ofic yake maana yeye ni mwamuzi wa mwisho ila namwomba mungu tu nami nipate
 
Hao ndiyo ndugu.. Hawataki ufike walipo

Mimi niliomba mkopo kwa ndugu yangu ambaye ana maduka kadhaa mjini. Alinijibu kuwa ili nifanikiwe nahitaji kuwa na 30mil; kwa hiyo nisubiri nipate kazi then hela nitakayopata nimtaarifu ili anionyeshe biashara nzuri. ..
 
amelaaaniwa amtegeameaye binadamu..sio maneno yangu hayo bible yenyewe yasema hivyo..sasa ndugu wamekubania ni zamu yako kuonesha kwamba utafanikiwa hata bila msaada wao..na bila kukata tamaa..btw ndugu wengi wanawatosaga watu wanapokua wamefanikiwa coz nature ya binadamu anapenda kuona mwenzie yupo chini yake...
 

Ndugu yangu uckate tamaa hata kidogo kwan Mungu karib sana na wa2 kama we kuliko unavyofikiria ipo cku.
 
Pole sana. Shida huleta maarifa. Yumkini God has something bigger for you. Nadhani wakati huu ndo unapaswa kukaa na kutulia, pengine ajira si fungu lako. I mean unaweza kuibuka mjasiriamali mkubwa ambaye uhitaji kuajiriwa na awaye na kwa hiyo tengeneza akili yako kama unahitaji kuwa huru from being employed by anyone. Jingine naona kama umekata tamaa! Hii sio nzuri kwenye maisha. Pigana na maisha ni kupambana!
 
pole mkuu usikate tamaa jitahidi kadiri unavyoweza kutafuta M/Mungu atakuwa pamoja nawe
 
pole sana mkuu komaa kitaeleweka tu kama mungu kakusaidia umemaliza chuo basi hayo maumivu ni ya muda vumilia..
 

kuna usemi mmoja wa kiingereza wenye fasili ya kiswahili..Nanukuu."Kuzaliwa masikini si kosa.., Kosa kufa Masikini".mwisho wa kunukuu...

Mkuu.!, Nakutia nguvu kamwe husikate tamaa katika Maisha...umesoma vizuri tuu tena level ya chuo..utatoka tu kwa namna moja ama nyingine...

Kumbuka Mungu anakujali pia..., Wewe unapanga na Mungu anapanga mambo yako mazuri...

Then hao hao ndungu zako watajakuja kukuomba hela ya Vocha..!!
 
pigana tu na utashinda as long as unamtanguliza mungu mbele katika mambo yako yote.
 



huku tunakoelekea kila mtu atakufa na chake,na cha mtu ni kile alichokihifadhi kichwani
kwa kua tayari una elimu yako suala la ajira na maisha ipo siku suluhisho itapatikana,cha muhimu ni kuzid kupigana kwa kumtumaini mungu na siku moja hizi shida zote zitasahaulika
songa
 
Pole sana ila kukujulisha zaidi ndugu zako hawataweza kukuajiri kwenye kampuni ambao wao wana endesha. Hicho ni kitu tunaita nepotism ambacho kimekuwa thorn in the side ya sisi tunaoitwa watoto wa maskini sababu kwakubwa wanaendelea kuwapa watoto wao kazi. Tafadhali angalia kwa ndugu kukupa referrals kwa kampuni zingine au tumia marafiki na hizo channels ambazo ndugu walikupa za internet na magazeti. Ili ujue katika HR manual za kampuni nyingi zinasema kuwa hairuhusiwi ndugu kuajiriwa kwenye kampuni moja.

Samahani kwa broken Swahili, ila nadhani labda nimejielewesha. I wish you success.
 
Ndg yangu,pole kwa maswahiba.
Lakini challenge ninayoiona kwako ni kama ulijikuza kuwa kuishi lazima uajiriwe kwa ksaidiwa na ndugu zako.
Jamani kama ni kweli huyo ndugu mimi naona unamlaumu bure kabisa,yeye anahusika vp na maisha yako?Wewe ulipofikia unahitajika kujua kuwa una uwezo wa kuishi kuwashinda sana watu ambao hawakusoma na mpaka unakaa kwenye JF ina maana usilalamike omba usaidiwe,mimi ningejua unataka msaada gani ningejitahidi.,mtu kukusaidia kutafuta ajira ni mambo ya zamani,hata kama kazi ni za kuhonga jitahidi kutumia watu wengi unaoweza kuwafikia,niko tayari kukusaidia kama hukati tamaa na kuwalaumu wengine kwa kukosa kujitahidi kwako.Watu hapa wamepita jeshini kwa sheria na walifanya kazi zote na form 6 au degree zao,amka ndg yangu!:majani7:
 
jifunze kutokata tamaa katika maisha yako na pia kutomtegemea mtu, "sababu mtu fulani yupo sehemu fulani ninaweza ama sitaweza kupata jambo fulani" thats wrong yeye sio mungu. work hard my dia, utaachive wat u deserve.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…