kaburu mdogo
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 567
- 400
mi nimemaliza chuo mwaka huu tena baada ya kusoma kwa shida sana sekondari za miaka miwili na form six mwaka mmoja maeneo ya temeke huku ndugu nilikua nakaa nao wakiona wivu kwa kujiendeleza kwa hela ya garage na maneno lukuki mf ngoja tuone kama ataenda makerere na anajifanya msomi kumbe alifeli darasa la saba,baada ya kumaliza chuo na kuanza kusaka ajira,nimejaribu kuwaomba wanisaidie lakini majibu yao ni ya kukatisha tamaa "soma kwenye magazeti na kwenye mtandao" huku nikiona ofisi zao zimetangaza nafasi za kazi nyingi na hata humu zipo na wala hajaniambia kama zipo ni mungu shukuru nimeziona leo.sasa hivi naenda kuchukua bahasha kwa kutuma maombi j3,najua sitapata maana hataki nimfikie na atajua nimeomba kwenye ofic yake maana yeye ni mwamuzi wa mwisho ila namwomba mungu tu nami nipate