Kwa laki mbili naweza kufanya biashara gani?

Kwa laki mbili naweza kufanya biashara gani?

Hellow guys mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 19 na nina matamanio ya kujiajri.

Je, ni biashara gani yenye mtaji mdogo kwa 200k itakayoweza kuniinua kiuchumi[emoji94][emoji94]

View attachment 2877638
Ingia sportpesa kacheze Casino avatar, tumia 100k inacheza Kwa 10k kila raundi kwa machale baada ya lisaa hope 50k itakuwa imekuzalishia kati ya 500k hadi 800k
Baada ya hapo weka 100k usubire kindege kikupe odds 10 itakuwa na 1m kafungue Banda la chips siku hiyo hiyo! Ukipata tamaa ukirudia kucheza, hela yote inaondoka!
 
Laki mbili ni ndogo ukiangalia kwaupana lakini kubwa kwakuanza kidogo kidogo
Ushauri wangu fanya biashara ya matunda, kwamkoani ningekuambia uza mkaa Anza na roba Tano
Pia genge ndogo la mboga za majani na matunda ingetosha

Kwahiyo picha wewe ni toto lamjini Kuna chimbo kusini ungeenda nahiyo laki mbili ingekutoa labda uwe mpenda chini
Tupe chimbo na maujanja yake mkuu
 
Unaweza ukafanya Biashara bila hata senti moja (mtaji sio pesa pekee) vilevile unaweza usifanikiwe hata ukiwa na bilioni moja....

Moral of the story Biashara ni zaidi ya pesa (salesmanship, motivation na kutokukata tamaa) mfano ukiwa muaminifu unaweza ukapewa mali kauli bila ya kutumia hata sumni..., ila bila skills za sales unaweza ukanunua mzigo ukaozea dukani...
 
Hiyo aya ya mwisho hebu toa nondo za kutosha

Back
Top Bottom