Kwa leo acheni tu niwape heshima zao wanawake wote:

Kuna point hapo zingine zinaonyesha si kupenda bali ni ujinga walio nao....Haswa hio ya kumfumania mme wake, halafu bado anaendela kuishi na mme wake.

Any way nice thread.

Anakufumania, anapigwa, mume ananyang'anywa. Bwana yakimshinda huko alikodhani anapendwa anarudi kuomba msahama, anasamehewa. How about that?[/COLOR]
 
kwani wanaume hawasamehi?
katika 100% wako 1% mana iko kipondo chake akikufumani vita vya palestina na israel vikasome mana ugomvi hautaisha itakua kila ukichelewa tu kidogo gengeni unakichapo hevi ukija home...................ila kwa wanawake kwakua hawawezi kumpiga mwanaume basi husamehe au kuondoka ..............ila hua nashangaa kwann mwanamke hawezi kumpa kosovo mwanamme hapo naona mungu hakufanya usawa ktk kugawa nguvu kati ya ke na me
 
Anakufumania, anapigwa, mume ananyang'anywa. Bwana yakimshinda huko alikodhani anapendwa anarudi kuomba msahama, anasamehewa. How about that?[/COLOR]

kuna saa nafikiri wanaume wanauwezo mdogo wa kufikiri mnooooooooo ingawa wao wanaona wana akili nyingi kuliko wanawake samahani guys kama nitakua nimewaboa ........just thinking sina matatizo nanyi
 
hata mimi nawapongeza na kuwatakia mafanikio.
 
kuna saa nafikiri wanaume wanauwezo mdogo wa kufikiri mnooooooooo ingawa wao wanaona wana akili nyingi kuliko wanawake samahani guys kama nitakua nimewaboa ........just thinking sina matatizo nanyi

kwa hiyo wenye upeo mkubwa nyie mnaovimilia kichapo na kusamehe?
 
Big up AMINATA hakika hiyo ndo thamani ya mwanamke wa ukweli, hongera mama kwa kunizaa mtoto wa kike mie.
 
Anakufumania, anapigwa, mume ananyang'anywa. Bwana yakimshinda huko alikodhani anapendwa anarudi kuomba msahama, anasamehewa. How about that?[/COLOR]
Yani hapo ndo mnazidi kuonyesha vipi wajinga.
 
uzii umesimama sana ni thead yangu nafungia mwaka,thx leta uzi. Wacha nimpende mke wangu daima,kwa jambo ambalo niliwahi mfanyia na akanisamehe na amesahau,naamini ingekuwa ni mimi nimefanyiwa ning'ekuwa nimeshamtimua siku miiiiingi,. Wacha nikudhamini na nikupende mke wangu.
 
kuna saa nafikiri wanaume wanauwezo mdogo wa kufikiri mnooooooooo ingawa wao wanaona wana akili nyingi kuliko wanawake samahani guys kama nitakua nimewaboa ........just thinking sina matatizo nanyi
Mtabakia kujidanganya, ndo mana siku hizi wewe ukitaka kujuana na mwanamke yeye anadhani wewe unataka kumvua chupi tu...Yani watu wanaona mbali wao wamebakia kutazama chini ya kitovu tu.
 
sijaona kitufe cha like naomba nikupe like 5 kwa mpigo nimeipenda hii
 
Sikusema wanawake wote wajinga, lakini 75% wamo katika kundi hilo.

huo ujinga unaupima ktk mizani ya namna gani? Na ni ujinga wa namna gani unaozungumzia? Katika hali gani? unataka ukimkosea mtu akikusamehe ni mjinga? Au ametumia hekima?
 
i will always remember my beloved wife, i know one day you will forgive me! I love you
tumika mtumishi tumika wanawake ugonjwa wao kubembelezwa usikate tamaa raha ya ndoa kuishi pamoja na kuelewana kicheko kinakuja chenyewe
 
huo ujinga unaupima ktk mizani ya namna gani? Na ni ujinga wa namna gani unaozungumzia? Katika hali gani? unataka ukimkosea mtu akikusamehe ni mjinga? Au ametumia hekima?
Kutokana na pointi za kuwafumania wanaume zao, na kukubali kuendelea kuishi na wanaume zao kama hakuna kilicho tokea.

Ndo mana nikakupa figure hizo....25% ni ma clever and 75% ni majinga lolo.
 
kwa hiyo wenye upeo mkubwa nyie mnaovimilia kichapo na kusamehe?
sina maana hiyo ila nilikua namjibu yule aliyesema kua mwanamme kafumaniwa na mkewe ......yule mgoni kampa kichapo mke wa ndoa na kusepa na men wake ila yule baba kaenda huko kaona mambo magumu kaamua kumrudia mkewe na magoti ampe second chance ndio mana nikasema wanaume wanaupeo wakufikiri kidogo kuliko wanawake ...............just thinking
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…