Kwa leo acheni tu niwape heshima zao wanawake wote:

Kwa leo acheni tu niwape heshima zao wanawake wote:

Big up AMINATA hakika hiyo ndo thamani ya mwanamke wa ukweli, hongera mama kwa kunizaa mtoto wa kike mie.
ur welcome any time))))))))
am proud of ma self too mamito
happy new year
 
uzii umesimama sana ni thead yangu nafungia mwaka,thx leta uzi. Wacha nimpende mke wangu daima,kwa jambo ambalo niliwahi mfanyia na akanisamehe na amesahau,naamini ingekuwa ni mimi nimefanyiwa ning'ekuwa nimeshamtimua siku miiiiingi,. Wacha nikudhamini na nikupende mke wangu.
thanx coz ur doing not only for ur lovely wife but for us all
 
kwa hiyo fazaa unaona wanawake ni wajinga sio? Hv unafikiri kila mtu akawa kama ufikiriavyo wewe ndoa zitatawalika au kudumu?
muulize tu mama na baba yake wangekua wapi kwa sasa kama baba yake angekua na akili ka za mwananye fazaa
 
Mtabakia kujidanganya, ndo mana siku hizi wewe ukitaka kujuana na mwanamke yeye anadhani wewe unataka kumvua chupi tu...Yani watu wanaona mbali wao wamebakia kutazama chini ya kitovu tu.
hahaaaaaaaaaaaaaa hii kali ya 2011 na afazali mwaka unaisha loh! kumbe ndio unawaga ivo mungu akurehemu ingawa bado hujadead bado ila nivizur kuanza kukurehem kuanzia sasa
 
ndio mana wajuzi wa mambo wanakuambia NANI KAMA MAMA
Ndo mana wenye akili wamejuwa nimesema 25% ndo ma clever na hapo nime mtaja mama kiaina-aina, unless kama umekosea step ndo utamtoa mama hapo.
 
Ndo mana wenye akili wamejuwa nimesema 25% ndo ma clever na hapo nime mtaja mama kiaina-aina, unless kama umekosea step ndo utamtoa mama hapo.
nimekusoma mkuu.........pamoja sana
 
hahaaaaaaaaaaaaaa hii kali ya 2011 na afazali mwaka unaisha loh! kumbe ndio unawaga ivo mungu akurehemu ingawa bado hujadead bado ila nivizur kuanza kukurehem kuanzia sasa
Ameen yarab....:lol:
 
thanx coz ur doing not only for ur lovely wife but for us all

thx aminata 9 sijui leo umeamkia wapi mama, huu uzi umenitouch sana bibie. God bless u bibie uendelee kutuletea thd za maana kama hizi.
 
Very sweet... Big respect to those women (sorry Amy, I am not one of them...)
But nawauliza wanaume: would you like a woman who ALWAYS behaves like this?
What about a woman who tells you how she feels so you can change?
What about one who exercises some pressure to bring the best out of you?
 
haya bwana fazaaaa mana utataka kuniambia wakiume ni wakiume tu au sio
Hapana sikusema wanaume wote wana akili kuliko wanawake, lakini mara nyingi sana wanaume wanakuwa na akili tukiwapanga kwenye ma group.

Yani wewe unaweza kuwa ana akili kuliko mimi, sioni kosa....Lakni sitakubali wanawake 75% waliopo duniani wawe na akili kuliko mimi ni bora niende palastine nikajiripue.
 
Very sweet... Big respect to those women (sorry Amy, I am not one of them...)
But nawauliza wanaume: would you like a woman who ALWAYS behaves like this?
What about a woman who tells you how she feels so you can change?
What about one who exercises some pressure to bring the best out of you?

umeadimika sana,upo we dada.happy new year
 
Aminata thread yako ni nzuri,lakini kwa upande wangu huyo mwanamke uliyomtaja hapo juu atakuwa na tatizo mtu anayeijua thamani yake lazima awe na mipaka,
Huwezi kumuacha mtu akutreat kama vile wewe umezaliwa bahati mbaya hapa duniani
ukasema kwamba ni sehemu ya kuwa mwanamke no way.
 
Back
Top Bottom