Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
thanx coz ur doing not only for ur lovely wife but for us alluzii umesimama sana ni thead yangu nafungia mwaka,thx leta uzi. Wacha nimpende mke wangu daima,kwa jambo ambalo niliwahi mfanyia na akanisamehe na amesahau,naamini ingekuwa ni mimi nimefanyiwa ning'ekuwa nimeshamtimua siku miiiiingi,. Wacha nikudhamini na nikupende mke wangu.
hahaaaaaaaaaaaaaa hii kali ya 2011 na afazali mwaka unaisha loh! kumbe ndio unawaga ivo mungu akurehemu ingawa bado hujadead bado ila nivizur kuanza kukurehem kuanzia sasaMtabakia kujidanganya, ndo mana siku hizi wewe ukitaka kujuana na mwanamke yeye anadhani wewe unataka kumvua chupi tu...Yani watu wanaona mbali wao wamebakia kutazama chini ya kitovu tu.
Ndo mana wenye akili wamejuwa nimesema 25% ndo ma clever na hapo nime mtaja mama kiaina-aina, unless kama umekosea step ndo utamtoa mama hapo.ndio mana wajuzi wa mambo wanakuambia NANI KAMA MAMA
Usiwe unashindana na wenye akili hahaha.bora ulivospecify kidogo afazali
wewe upo hivi?
ur welcome any time))))))))
am proud of ma self too mamito
happy new year
Ameen yarab....:lol:hahaaaaaaaaaaaaaa hii kali ya 2011 na afazali mwaka unaisha loh! kumbe ndio unawaga ivo mungu akurehemu ingawa bado hujadead bado ila nivizur kuanza kukurehem kuanzia sasa
thanx coz ur doing not only for ur lovely wife but for us all
Ameen yarab....:lol:
Hapana sikusema wanaume wote wana akili kuliko wanawake, lakini mara nyingi sana wanaume wanakuwa na akili tukiwapanga kwenye ma group.haya bwana fazaaaa mana utataka kuniambia wakiume ni wakiume tu au sio
Very sweet... Big respect to those women (sorry Amy, I am not one of them...)
But nawauliza wanaume: would you like a woman who ALWAYS behaves like this?
What about a woman who tells you how she feels so you can change?
What about one who exercises some pressure to bring the best out of you?
Nipo, happy new year to you too... we waonaje hapo? ni sawa umfanyie mtu hayo yote na asikwambie? huyo ni mzuri wako kweli? anakutakia wema?umeadimika sana,upo we dada.happy new year