Kwa leo acheni tu niwape heshima zao wanawake wote:

sijakuambia ww ni mmoja wao wala sikusema wanawake wote wako ivo ila ktk tz wanawake ambao wanauwezo wa kumsema mume mpaka abadilike ni wachache sana hata asilimia 30 hawafiki wengi wao huwa ni wa dizaini iyo hapo juu..............we unafiki wanawake wangapi wanapokea kichapo daily na wako tu hawaondoki kwa waume wao.......jibu unalo kua ni wengi mnoooooooooo..............solution ni kua elimu bado sana mana wanawake wengi hawajui haki zao wala umuhimu wa izo haki kwako.................get me baby
 
hahaaaaaaaaaaaaa umenichekesha ulivosema kua ana matatizo .........meaning yangu ilikua ni wanawake ni wavumilivu sana na wanatendewa mengi mnoooooo na wenza wao ila hawaongei...........unaweza kumuona nje anatabasamu ila anayokutana nayo akirudi home ni zaidi ya jehanam mpz
 
Well...
This strength in them keep us afloat....
Love u women!
 
NImekuelewa dear, ila nilicho taka kuuliza ni hiki: wanawake kama hawa wanastaili kupongezwa au kuonewa huruma? wewe kama mwanamke unaona ni sawa kwa mwanamke kua hivi? Najua wapo wengi kama hao (as you said) ila nadhani ungewasaidia zaidi kwa kuandika: let's show compassion to these woman, alafu pia tujaribu kuwaelewesha kua that attitude is not in their interest. Na hili sio swala la elimu, ni swala la kuamua kuongea tu, kama ulivo amua kuwaongelea hapa.
Ni wazo langu tu...
 
pamoja sana tu lets do it mana kwa pamoja twaweza kumkomboa anayeonewa au sio
 
Mungu awabaliki sana mama zetu hao milele na milele................amiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…