Kwa leo TID kafunikwa mbali sana na Hemed PHD 'muuza sura' kwa kila sekta

Ana yule rafiki yake nae wyt, yan ndio hamna kitu kbsaaaa. Analazimisha mpk inaonekana kbsa ndio maana ht nyimbo wala video zake hazikaag sn zinasahaulika

We utamkataa,kuna watu wanamkubali,kama vile kuna watu wanakubali diamond ila hawamkubali kiba na wapo wanakubali kiba hawamkubali diamond.

Jamaa afanye sasa colabo na wasanii wa nje utashangaa katoboa kimataifa
 
Mimi namkubali mchiZi sana
 
Dah kweli ngada soo mpaka Mnyama TID anafanishwa na Hemed!sikiliza Asha na Kiuno kwa sikio la muziki sio la kishabiki;hata PhD kama anasoma hapa anashangaa
 
We utamkataa,kuna watu wanamkubali,kama vile kuna watu wanakubali diamond ila hawamkubali kiba na wapo wanakubali kiba hawamkubali diamond.

Jamaa afanye sasa colabo na wasanii wa nje utashangaa katoboa kimataifa

Co kwamba watu hawamkubali au kwamba yuko ovyo, the point is, comparison uliyompa sio..TID anajua zaidi ya hemed
 
Yote ya yote hawa wawili kama unabahatika kuangalia show zao huboreki kwakuwa wana ngoma zao flani ambazo haziishagi muda wake
 
Yaani kwa leo video za ukweli hata audio anazoachia PHD kamwacha mbali,kuna watu walikuja kumfananisha humu mwaka uliopita,ila kwa sasa TID kafunikwa balaa.

sina upendeleo

Wakati TID anaimba bado ulikuwa Mvuti, Usimfanishe na huyu mpaka poda. Hemed hagusi hata theruth kwa TID.
 
Wakati unajaribu kumlinganisha Hemed na TID, hutakiwi kwenda mbali... hata ukisikiliza kwenye chorus ya Tunakukumbuka ambayo TID alikuwa wala hajulikani (ilikuwa b4 Zeze), bado level ya ile chorus sidhani kama Hemed ameshaifikia!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…