Kwa leo tu....

Kwa leo tu....

TIMING

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Posts
28,186
Reaction score
15,549
Kwa leo tu....

nakumbukia enzi zileee napenda bintimurua sana, lakini enzi zile zaidi ya kuandika barua sikua na ujanja hata wa kumsalimia

Ni kwa leo tu, nakumbukia the good old days
 
Enzi zile mabinti walikuwa na thamani ya kipekee. Usinikumbushe.
 
Hata mimi nakumbuka enzi zile ukimtokea demu hakuangalii usoni, halafu kama pembeni kuna ka'mti basi baada ya zoezi zima si ajabu kukuta nusu ya mti hauna majani...hapo ndio ilikua ya somo kueleweka...kwa leo tu
 
Enzi zile mkaka anakupigia misele miaka miwili,na hata ukimkubalia miezi miwili ya mwanzo humpi utamu, kwenye barua atajielezea vizuri unatamani kuisoma mda wote, mmh wa kileo hata kutongoza hawajui, mtu akikupia simu mara kwa mara anajua ameshakupata wakati hata lengo lake hajaliweka wazi
 
Lol...enzi za barua zenye maua....kama hujui kuchora ilikuwa tabu kweli kweli
 
Daa enZi hizo ukimuandikia barua mpz wako unasubiria majibu kwa miezi kadhaa, ilikuwa kawaida kuambiwa na mwanamke yeye ni bikra.
 
Enzi hizo mwanaume anajidai na adabu zaidi ya msichana, anachelewa hata kutoka shule ilimradi aongozane naye,kuongea ishu yenyewe shida mpaka mwaka unaisha, ila leo no time to waste
 
Hata wakaka walikuwa na sifa za kipekee! Anakuandikia barua nzuri hadi unaibusu lakini haandiki matusi! Siku hizi hata sms tu mtu lazma aandike matusi ama vitu visivyo na staha! Afu mibaba mizima! Kha!
Umenikumbusha kaka mmoja alikuwa ananiandikia kila wiki,lol
Enzi zile mabinti walikuwa na thamani ya kipekee. Usinikumbushe.
 
Hata wakaka walikuwa na sifa za kipekee! Anakuandikia barua nzuri hadi unaibusu lakini haandiki matusi! Siku hizi hata sms tu mtu lazma aandike matusi ama vitu visivyo na staha! Afu mibaba mizima! Kha!
Umenikumbusha kaka mmoja alikuwa ananiandikia kila wiki,lol

Dada gud morng bana. . . . . .!
 
Umenikumbusha kaka mmoja alikuwa ananiandikia kila wiki,lol

Vipi mlipeana utamu. Alikuwa anafunga goli ngapi/ulikuwa unapanda milima na kuteremka mara ngapi. Ni fullu mahanjumati.

Lakini Angalia usifufue maiti! Shauri yako na kumbukumbu za "thosi old guud deis".

Bazazi ni Bazazi!
 
Hata wakaka walikuwa na sifa za kipekee! Anakuandikia barua nzuri hadi unaibusu lakini haandiki matusi! Siku hizi hata sms tu mtu lazma aandike matusi ama vitu visivyo na staha! Afu mibaba mizima! Kha!
Umenikumbusha kaka mmoja alikuwa ananiandikia kila wiki,lol

umesema sana King'asti yan kuna mbaba aliniandikia sms hiyo,nilikuta macho yanafumba yenyewe. Kifupi sikuamini kama yeye ndie alieandika
 
Last edited by a moderator:
Enzi zile mkaka anakupigia misele miaka miwili,na hata ukimkubalia miezi miwili ya mwanzo humpi utamu, kwenye barua atajielezea vizuri unatamani kuisoma mda wote, mmh wa kileo hata kutongoza hawajui, mtu akikupia simu mara kwa mara anajua ameshakupata wakati hata lengo lake hajaliweka wazi
enzi zile tuliishi kindoto mno

everything was sooo imaginary
 
Lol...enzi za barua zenye maua....kama hujui kuchora ilikuwa tabu kweli kweli

ni kwa leo tu............ enzi zile niliandika barua na broken english, ikarudi imesahihishwa aisee
 
Hata wakaka walikuwa na sifa za kipekee! Anakuandikia barua nzuri hadi unaibusu lakini haandiki matusi! Siku hizi hata sms tu mtu lazma aandike matusi ama vitu visivyo na staha! Afu mibaba mizima! Kha!
Umenikumbusha kaka mmoja alikuwa ananiandikia kila wiki,lol

kamanda.... kwa leo tu.... tukumbukie enzi zile ambapo utamu ulikua na heshima ya pekee

ya siku hizi tuyaache hadi kesho
 
Back
Top Bottom