Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Enzi zile mabinti walikuwa na thamani ya kipekee. Usinikumbushe.
Hata wakaka walikuwa na sifa za kipekee! Anakuandikia barua nzuri hadi unaibusu lakini haandiki matusi! Siku hizi hata sms tu mtu lazma aandike matusi ama vitu visivyo na staha! Afu mibaba mizima! Kha!
Umenikumbusha kaka mmoja alikuwa ananiandikia kila wiki,lol
Dada gud morng bana. . . . . .!
Hehehe! Ndugu-morning kaka! Twende kule kwenye ganzi tumalizane mi nikafungue kijiwe.
Umenikumbusha kaka mmoja alikuwa ananiandikia kila wiki,lol
Hata wakaka walikuwa na sifa za kipekee! Anakuandikia barua nzuri hadi unaibusu lakini haandiki matusi! Siku hizi hata sms tu mtu lazma aandike matusi ama vitu visivyo na staha! Afu mibaba mizima! Kha!
Umenikumbusha kaka mmoja alikuwa ananiandikia kila wiki,lol
Enzi zile mabinti walikuwa na thamani ya kipekee. Usinikumbushe.
enzi zile tuliishi kindoto mnoEnzi zile mkaka anakupigia misele miaka miwili,na hata ukimkubalia miezi miwili ya mwanzo humpi utamu, kwenye barua atajielezea vizuri unatamani kuisoma mda wote, mmh wa kileo hata kutongoza hawajui, mtu akikupia simu mara kwa mara anajua ameshakupata wakati hata lengo lake hajaliweka wazi