2019
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 3,130
- 4,735
Hii game ya Bongo fleva imetoka mbali sana, tunakumbuka kuna mikoa imewahi kutisha sana kwa kutoa wasanii wengi tena wakihit kwa wakati mmoja.
Ifuatayo ni mikoa hiyo UKITOA DAR ES SALAAM.
1. TANGA- wasanii wengi sana Mwanna FA, Bwana misosi, Matonya makundi kama wagosi wa kaya waliwakilisha vizuri sana mkoa huu. (mnaokumbuka mtaongezea)
2. Morogoro- mkoa wa vipaji lukuki, mfalme Sele mwenyewe, O'Ten,na kundi zima la
3. Kigoma- hii ilitrend sana wakiwa pamoja lakini haijulikani waliishia wapi, lakini idadi ya wasanii mkoa huu bado ipo juu sana mojawapo Kiba, Linex, Dimpoz na wengine wengi.... Kizazi hiki kinaelekea ukingoni kama mikoa tajwa juu hapo.
4. KILIMANJARO - humu ndiko wanamuziki wanakotea kwa sasa,kila hits 10 utakayosikia lazma 4,5 msanii katoka Kili.
Idadi ya wasanii hii [emoji117]V, money(Vanessa Mdee)
Roma Mkatoliki, Whozu, Bill Nas, Nandy, Rozarii wengine siwajui
Unaweza kutaja walio sahaulikahapo
Bila shaka kwa list hii Kili inakimbiza sana...
Dar es Salaam haijatajwa sababu ndio inaongoza kuwa na wasanii wengi na aina nyingi za nyimbo.