Kwa list hii ni zamu ya Kilimanjaro sasa

2019

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2018
Posts
3,130
Reaction score
4,735
Hii game ya Bongo fleva imetoka mbali sana, tunakumbuka kuna mikoa imewahi kutisha sana kwa kutoa wasanii wengi tena wakihit kwa wakati mmoja.
Ifuatayo ni mikoa hiyo UKITOA DAR ES SALAAM.

1. TANGA- wasanii wengi sana Mwanna FA, Bwana misosi, Matonya makundi kama wagosi wa kaya waliwakilisha vizuri sana mkoa huu. (mnaokumbuka mtaongezea)
2. Morogoro- mkoa wa vipaji lukuki, mfalme Sele mwenyewe, O'Ten,na kundi zima la
3. Kigoma- hii ilitrend sana wakiwa pamoja lakini haijulikani waliishia wapi, lakini idadi ya wasanii mkoa huu bado ipo juu sana mojawapo Kiba, Linex, Dimpoz na wengine wengi.... Kizazi hiki kinaelekea ukingoni kama mikoa tajwa juu hapo.
4. KILIMANJARO - humu ndiko wanamuziki wanakotea kwa sasa,kila hits 10 utakayosikia lazma 4,5 msanii katoka Kili.
Idadi ya wasanii hii [emoji117]V, money(Vanessa Mdee)
Roma Mkatoliki, Whozu, Bill Nas, Nandy, Rozarii wengine siwajui
Unaweza kutaja walio sahaulikahapo
Bila shaka kwa list hii Kili inakimbiza sana...

Dar es Salaam haijatajwa sababu ndio inaongoza kuwa na wasanii wengi na aina nyingi za nyimbo.
 
So what ?
 
Wewe kiazi kweli, Roma mkatoliki kwenye nyimbo zake zote na hata matamasha anajinasibu ni mtu wa Tanga tena msambaa huo ukilimanjaro umeanza lini?

Vanessa mdee nae kila interview yeye ni mtu wa arusha hajawahi kusema kuwa yeye ni wakilimanjaro kama anavyojinasibu gadna na whozu,

Mkoa unaotisha kwa vipaji na havitokaa viishe kama unavyosema ni KIGOMA kwa waha na wamanyema, ni wengi mpaka kero na kuna undergrounds wako mitaani huku wamekuja kwa treni ni shida nyingine mjini hawajapata chaka la kutokea tu.

Ruge mutahaba kafa, Nandy, Whozu, nao ata_shake.
Bill nas hana muziki kwa miaka minne mbele style yako inaelekea kukosa wafuasi (kwanza ni mzawa wa DSM kakulia DSM na atafia DSM) huko kilimanjaro ni asili ya wazazi wake tu.
 
Back
Top Bottom