Tripo9
JF-Expert Member
- Sep 9, 2009
- 4,357
- 3,550
Habari wadau.
Hivi haya madai ya tume huru ya uchaguzi sawa kama neno linavojieleza kwamba tume iwe huru lakini yaani kwamba wanaounda tume wawe watu gani kwa mfano?
Mimi kwa akili zangu za kawaida tume huru inamaanisha chukua watu toka nje ya bongo yaani nchi mbali mbali walete waje waunde tume. Hamna kucheka na kima. Haku bin haku.
Au tume huru inamaanisha iundwe na watu toka vyama mbali mbali? Kama jibu ni ndio dah hahaha nacheka kwa dharau. Hizi chaguzi zetu tu kwenye wawakilishi wa wagombea wa nafasi mbali mbali kwenye kuhesabu na kulinda kura nasikia watu wanakatiwa mikwanja kura zichakachuliwe je hii tume itakayoundwa hivi ina kinga gani kwa mfano 😲
Jamani narudi pale pale kina nani wataunda tume huru ya uchaguzi?