Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
inakera mno watumiaji wa kiswahili, kwa waswahili kutumia maneno ya kiingereza na kuita ni lugha ya kitaalam! jamani bakita mko wapi? hata roadblock ni lugha ya kitaalam? wabunge mawaziri viongozi serikalini na wataalam wetu wanaongoza katika hili