Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Nov 29, 2012 #1 inakera mno watumiaji wa kiswahili, kwa waswahili kutumia maneno ya kiingereza na kuita ni lugha ya kitaalam! jamani bakita mko wapi? hata roadblock ni lugha ya kitaalam? wabunge mawaziri viongozi serikalini na wataalam wetu wanaongoza katika hili
inakera mno watumiaji wa kiswahili, kwa waswahili kutumia maneno ya kiingereza na kuita ni lugha ya kitaalam! jamani bakita mko wapi? hata roadblock ni lugha ya kitaalam? wabunge mawaziri viongozi serikalini na wataalam wetu wanaongoza katika hili