Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
kilo mia za mawe na kilo mia za pamba zipi nying?
Kwanza zipi nzito!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kilo mia za mawe na kilo mia za pamba zipi nying?
kilo mia za mawe na kilo mia za pamba zipi nying
toka jana sijalala nasubiria link sijaiona
ni kweli,mie kuna mtu alikuwaga anasafirisha ndo aliniambia
sa mtu akikwambia kabeba kilo 150 unachukua kama ilivyo.....
Mpaka hapo nimeachwa nje ya mada. Kwamba kilo 1 ya heroin ni tofauti na kilo moja ya mchele kwenye lugha za wauza dawa hizo?
ngoja nikuwekee link so that you can see the difference
au hizo sio hesabu kilo moja ni kiklo moja tu hutofauti upo wapi labda kama hawatumii vipimo vya kihesabu basi hiyo sio kilo tunayoijua sisis labda ni kibaba kimoja saawa na kilo moja
Hicho ndio kinaniacha mdomo wazi 150kg zikapita?
kweli nilishawahi kuuliza na kuambiwa kwamba siyo kama kilo ya unga wa ugali