kwa lugha ya picha AGNES MASOGANGe alipita na mifuko 3 ya cement

ni kweli,mie kuna mtu alikuwaga anasafirisha ndo aliniambia
sa mtu akikwambia kabeba kilo 150 unachukua kama ilivyo.....

Mpaka hapo nimeachwa nje ya mada. Kwamba kilo 1 ya heroin ni tofauti na kilo moja ya mchele kwenye lugha za wauza dawa hizo?
 
Mpaka hapo nimeachwa nje ya mada. Kwamba kilo 1 ya heroin ni tofauti na kilo moja ya mchele kwenye lugha za wauza dawa hizo?

au hizo sio hesabu kilo moja ni kiklo moja tu hutofauti upo wapi labda kama hawatumii vipimo vya kihesabu basi hiyo sio kilo tunayoijua sisis labda ni kibaba kimoja saawa na kilo moja
 
au hizo sio hesabu kilo moja ni kiklo moja tu hutofauti upo wapi labda kama hawatumii vipimo vya kihesabu basi hiyo sio kilo tunayoijua sisis labda ni kibaba kimoja saawa na kilo moja

Uko sahihi kabisa, ndio sababu nimeshangaa hivyo vipimo vyenye double std.
 
Hicho ndio kinaniacha mdomo wazi 150kg zikapita?

jiulize zilikotoka kama zilitokea tz...ziliingiaje TZ na zikatoka pia kwenda South...na kama ziliingizwa hapa tz basi kilo150 ilichotwa tu. Bado shehena kubwa ipo tz...LoL
 
Tena itakuwa zaidi ya mifuko mitatu maana siku hizi mfuko wa cement ukiupima hata haufiki kilo 50, mara nyingi ni kilo 45.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…