DOKEZO Kwa Lugumi na Miss Rwanda 2016, Dola isiruhusu mahusiano ya Lugumi na Viongozi waandamizi nchini na asipewe kazi yoyote ndani ya Majeshi!

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mkuu kweli Lugumi ni dogo 😀 umemzidi miaka mingapi?
 
Inawezekana vipi kukubali kudalaliwa na lugumi vifaa vya jeshi badala ya majeshi yenyewe wanunue wenywewe?yaani Mfano jeshi linataka ndege vita yaani lugumi ndiyo anakuwa kiunganishi?Au Mimi ndiyo sielewi? Kama ni Hivyo basi Nchi Iko wazi kabisa.
Makampuni yapo yanayopewa tenda kununua vifaa vya jeshi duniani kote ni biashara kama biashara zingine

Adnan Khashoggi alikuwa mfanyabiashara mkubwa sana na Broker
Alikuwa anapatanisha madili ya uuzaji wa kila aina ya silaha kwa nchi nyingi sana
Jamaa alikuwa na pesa za kufa mtu
Alikuwa ni Msaudia
Ila sio yule Khashoggi alieuwawa na hawana undugu
 
watu wanazichukulia poa sana security agency za TZ kina born town wameeaza kwenda ussr na china 1980s huko kupata mafunzo leo waje wazidiwe ujanja kirahisi ivo
Unacho takiwa kujua vizuri ni kwamba, nchi ikisha tanguliza rushwa na siasa basi jua mifumo yote inakuwa butu tena butu haswaa.
 
Nikisoma comment za humu zinanifanya nizidi kumpenda mke wangu,maana mke wangu ni chuma hicho, cha Lugumi kinasubiri!!
 
Mnamuogopa PK kweli kweli nyie waswahili
 
Wewe ni raia wa nchi hii kweli?
 
Acha watu waongee wanacho hisi , hivi vitendo vipo , kama wewe hujaviona wenzako wameviona bora ukatulia tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…