Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,740
- 4,938
Mbuzi 😂 akitoka hapo handas lote analileta JF!Baridi la Canada, sasa hivi anatafuna mirungi tu huko na kunywa kahawa.
Hata nguvu ya kuchangia JF hana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbuzi 😂 akitoka hapo handas lote analileta JF!Baridi la Canada, sasa hivi anatafuna mirungi tu huko na kunywa kahawa.
Hata nguvu ya kuchangia JF hana.
Usiombe iwe from an african mother! 🤣Nime imagine hiyo sentensi imefuatana na kusonkwolwa kwenye komwe la jamaa! 🤣
Nundu itakaa mpaka uzeeni udanganye wajukuu eti ni “faded beauty spot” 🤣🤣Usiombe iwe from an african mother! 🤣
Mkuu kweli Lugumi ni dogo 😀 umemzidi miaka mingapi?Hayati hajawahi kuwa na uhusiàno wa karibu na LUGUMI. Infact kipindi cha Dr JPM huyo dogo alikuwa ameshapotezwa na JPM alikuwa anakwenda kumfilisi.
Huyu Lugumi ni kizazi cha JK na wazee wa Msoga. Lugumi ni miongoni mwa watu waliolewq sana baada ya Dr kufariki.
Intelligence ya JESHI ninaimani nayo sana hii inayojiita TISS ina compromise sana na technology pia inatukwamisha
Intelligence ya sasa imehamia kwenye technology
DotsUongo wa kiwango cha SGR...godamn!
DotsMuongo wewe!
Makampuni yapo yanayopewa tenda kununua vifaa vya jeshi duniani kote ni biashara kama biashara zingineInawezekana vipi kukubali kudalaliwa na lugumi vifaa vya jeshi badala ya majeshi yenyewe wanunue wenywewe?yaani Mfano jeshi linataka ndege vita yaani lugumi ndiyo anakuwa kiunganishi?Au Mimi ndiyo sielewi? Kama ni Hivyo basi Nchi Iko wazi kabisa.
Unacho takiwa kujua vizuri ni kwamba, nchi ikisha tanguliza rushwa na siasa basi jua mifumo yote inakuwa butu tena butu haswaa.watu wanazichukulia poa sana security agency za TZ kina born town wameeaza kwenda ussr na china 1980s huko kupata mafunzo leo waje wazidiwe ujanja kirahisi ivo
Nikisoma comment za humu zinanifanya nizidi kumpenda mke wangu,maana mke wangu ni chuma hicho, cha Lugumi kinasubiri!!Unaweza kushangaa hizi kampeni zote za Lugumi akimwaga Pesa, mara watoto Yatima n.k zina lengo gan na kwanini nguvu kubwa inatumika kumtakatisha !!.
Rais Paul Kagame, ni Rais alojaliwa kua na Taasisi ya kijasusi ilofanikiwa Hapa Africa na Duniani, na Huenda baadhi ya Oparesheni za Rwanda ,huwaacha watu midomo wazi, Hilo halikuja Kwa bahati mbaya, Uwekezaji mkubwa, watu kufundishwa uzalendo na utaifa wangali wadogo ndo kunafanya Taasisi za Ujasusi za Rwanda kuonekana tishio .
Ikiwa kweli Bilionea Lugumi yuko Penzin na Miss Rwanda,
Na Kwamba sasa Bilionea Lugumi yuko karibu sana na viongozi waandamizi wa Nchi hii .
Na wengine siku hizi wanadai anatafutiwa Dili majeshini .
Kuna Haja ya Taa Nyekundu Kuwaka Kwa masilahi Mapana ya Taifa
Penzi lake libaki kua lake, ila Kwa namna yoyote Ile lisiruhusiwe kua na matokeo Kwa Taifa !!
View attachment 3198578
.
View attachment 3198580
Duuhh Jamaa anakojoa pazuri, huyu demu hata maji yake alofulia Chupi au aloogea unaweza kuyanywa kama maji ya kunywa simply because she is so fine
Mnamuogopa PK kweli kweli nyie waswahiliUnaweza kushangaa hizi kampeni zote za Lugumi akimwaga Pesa, mara watoto Yatima n.k zina lengo gan na kwanini nguvu kubwa inatumika kumtakatisha !!.
Rais Paul Kagame, ni Rais alojaliwa kua na Taasisi ya kijasusi ilofanikiwa Hapa Africa na Duniani, na Huenda baadhi ya Oparesheni za Rwanda ,huwaacha watu midomo wazi, Hilo halikuja Kwa bahati mbaya, Uwekezaji mkubwa, watu kufundishwa uzalendo na utaifa wangali wadogo ndo kunafanya Taasisi za Ujasusi za Rwanda kuonekana tishio .
Ikiwa kweli Bilionea Lugumi yuko Penzin na Miss Rwanda,
Na Kwamba sasa Bilionea Lugumi yuko karibu sana na viongozi waandamizi wa Nchi hii .
Na wengine siku hizi wanadai anatafutiwa Dili majeshini .
Kuna Haja ya Taa Nyekundu Kuwaka Kwa masilahi Mapana ya Taifa
Penzi lake libaki kua lake, ila Kwa namna yoyote Ile lisiruhusiwe kua na matokeo Kwa Taifa !!
View attachment 3198578
.
View attachment 3198580
Duuhh Jamaa anakojoa pazuri, huyu demu hata maji yake alofulia Chupi au aloogea unaweza kuyanywa kama maji ya kunywa simply because she is so fine
Wewe ni raia wa nchi hii kweli?Akili za kitoto hivi unajua wasukuma wangapi wenye uncles Rwanda?
Utakawashuku wote, hiyo si xenophobia, mie nina dada yangu kutoka Ngara anatema Kinyarwanda, lakini mswazi huyo Mwajuma wa Tandale aingii. Na habari za Rwanda hana habari nazo kabisa.
Na nina rafiki msukuma ana uncle wanyarwanda na mkewe wa huko huko lakini akili yake Tanzania.
Kuna mix, issue ya usalama ni kujipanga kwa mtindo wao. Lakini sio kupangia raia. Lugumi apigi deal kwa sababu ya Kagame atapiga deal kwa sababu majizi serikalini yanadhani anafaa kupiga deal nae kama mtanzania mwingine yeyote.
Akipata hela atavyoamua kujifurahisha ni yeye. Tuache hizi tabia za kuwabagua watu.
Ulinzi ni swala lingine na deal ni swala lingine; kesho Bashe akiokiota mtoto wa kisonjo it has nothing to do with national security.
Vita yako ni uzalendo, pamoja na makelele ya ACT-Wazalendo na watu kama kuna OMO; kuna maafisa usalama kutoka huko visiwani wanailinda Tanzania wabara awaingii,
Tuache hizi chuki za kupakazia watu mambo,
Acha watu waongee wanacho hisi , hivi vitendo vipo , kama wewe hujaviona wenzako wameviona bora ukatulia tuu.Shida zaidi ni hii dhana ya mistrust on grounds of xenophobia and religious differences (halafu mods wanachekea kweli hizo mada).
Ni nadharia za kutoka kwa watu wasiojichanganya tu kwenye jamii; lakini watanzania hatupo ivyo.
Sote tunajua ‘bi-tozo’ anavyotaka kutengeneza mazingira ya kupita kirahisi 2025. Aliweka DGIS mzanzibari akizani atachezea kazi yake.
Kibaya zaidi alichagua mtu ambae ni proper system ya usalama hajui lolote nje ya usalama; yeye mwenyew ilibidi amteme hata miezi minne aikufika. Unacheza na walinzi waliopikwa.
Tuache hizi tabia za kushutumu majirani zetu au kutaka kutengeneza udini.
Lugumi mshikaji wake ni mzee wa msoga na hayati alipoingia akafumua huo uchafu japo Kwa Sasa Tena karudi