Kwa M6 ninunue gari gani?

Kwa M6 ninunue gari gani?

Private investigator

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2012
Posts
303
Reaction score
287
Nataka gari ya kwenda nayo ofisini, nikitoka nipige uber niingize fedha. Nataka private ya kukodiwa sometime viroute vifupi vya km 300 -400 na kurudi mjini.
.1. Wish
.2. IST
.3. Raum
.4. Passo
.5. GX 100
.6. Mark X
Ipi itafaa kwa Mwanza hii.??
 
GX100 na Passo ndio itaendana na hela uliyonayo na chenji inarudi...ingawa GX100 kwa hela ya mawazo uliyonayo sijui kama utaweza pambana na bei ya wese...Hayo mengine waachie wenye pesa...

300km hadi 400km hiyo si safari ya mkoa hafi mkoa?
 
Gari ya mil 6 na mafuta haya,sijuiii...
 
Nataka gari ya kwenda nayo ofisini, nikitoka nipige uber niingize fedha. Nataka private ya kukodiwa sometime viroute vifupi vya km 300 -400 na kurudi mjini.
.1. Wish
.2. IST
.3. Raum
.4. Passo
.5. GX 100
.6. Mark X
Ipi itafaa kwa Mwanza hii.??
Viroute vifupi vya kms 300 - 400? Sina hakina kama unafahamu vipimo kwani ulicho andika ni routi ndefu
Labda kwa kukupa uelewa wa KMS (kutoka Dar hadi Dodoma ni takrbani kms 445
 
Back
Top Bottom