No, nilichomaanisha hapo kwenye bold ni kuwa sina mpango wa kuoa fasta hivyo!!
Yah ila unanipa maneno naona Malkia
Nakwambia wazazi wa leo tuna kazi. Hata useme utamfanya mwanao rafiki awe wa kike au wa kiume jua fika itafika kipindi atakwambia daddy you are too oldfashioned. Ataona unamwekea kiwingu. watoto wakianza ku mature hawataki kabisa kufatwa fatwa. Kazi kweli kweli.
Haya bana. . .ngoja nisinzie zangu. Muote atakae faa kuita mama na sio aunt wa Malaika.
Haya ntamuota yule wa enzi zile za kijiweni lol....
Lala unono