Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,277
- 8,860
Kwa falsafa ya lowassa ya maamuzi magumu ni wazi baada ya uchauguzi mkuu Octoba kama atakuwa candidate wa UKAWA.
Waislam wote watanzania kiu yao ya mahakama ya Kadhi itakuwa imekatwa rasmi.
Na sema hivyo maana EL ni mtu wa maamuzi na kwa hili akilihaidi najuwa lazima atekeleze.
Kazi ni moja tu,wale wote wasiokubaliana na Mfumo wa Bakwata ni kuakikisha UKAWA wanaingia Ikulu tu.
Na kila jambo litatekelezwa kwa ustadi mkubwa na uaminifu.