Kwa Maamuzi ya Lowassa Mahakama ya Kadhi inakuja

Matatizo ya mtu mmoja kuutamani uongozi wa juu ni tatizo sana, jiulize, anataka nini? Kuna vitu vingi nyuma yake anavyotaka kwa nguvu zote na anaposema atautafuta mchaka mchaka wake popote pale. Njugu anazogawa atawalipa nini? Jiulize hatiam yake hizo pesa atarudishaje hizo hela?
 
Lowassa hakuwahi Kukatwa tokea Utotoni hadi uzeeni ndio Kakatwa?
 
Nani kasema Maamuzi magumu yapo kwa kuleta Kadhi Court ? Please sana jiheshimu
 
Nenda kamshauri halafu tuone kama wewe na yeye mtafanikisha hilo.Hii nchi ni yawatanzania wote na siyo ya dini fulani.Umeelewa...?!
 
Matatizo ya mtu mmoja kuutamani uongozi wa juu ni tatizo sana, jiulize, anataka nini? Kuna vitu vingi nyuma yake anavyotaka kwa nguvu zote na anaposema atautafuta mchaka mchaka wake popote pale. Njugu anazogawa atawalipa nini? Jiulize hatiam yake hizo pesa atarudishaje hizo hela?

Huyu hata asikupe pressure CCM haitamuachia hata sekunde moja ya kupumua anaonekana na uchu sana wa madaraka!
 
Back
Top Bottom