Kwa falsafa ya lowassa ya maamuzi magumu ni wazi baada ya uchauguzi mkuu Octoba kama atakuwa candidate wa Ukawa
Waislam wote watanzania kiu yao ya mahakama ya Kadhi itakuwa imekatwa rasmi
Na sema hivyo maana EL ni mtu wa maamuzi na kwa hili akilihaidi najuwa lazima atekeleze.
Kazi ni moja tu,wale wote wasiokubaliana na Mfumo wa Bakwata ni kuakikisha UKAWA wanaingia Ikulu tu.
Na kila jambo litatekelezwa kwa ustadi mkubwa na uaminifu.

Mgonjwa wewe maamuzi mqgumu ya kuibia watanzania unajilimbikizia mali halafu unatumia mali hizo kununua uongozi?Kwa falsafa ya lowassa ya maamuzi magumu ni wazi baada ya uchauguzi mkuu Octoba kama atakuwa candidate wa Ukawa
Waislam wote watanzania kiu yao ya mahakama ya Kadhi itakuwa imekatwa rasmi
Na sema hivyo maana EL ni mtu wa maamuzi na kwa hili akilihaidi najuwa lazima atekeleze.
Kazi ni moja tu,wale wote wasiokubaliana na Mfumo wa Bakwata ni kuakikisha UKAWA wanaingia Ikulu tu.
Na kila jambo litatekelezwa kwa ustadi mkubwa na uaminifu.
Walosaini ni serikali ya CCM na sio mtu mmoja,labda kama umeamua tu kujitoa ufahamu....and by the way hiyo M.O.U inatakiwa kuwa kati ya serikali na tasisi za kidini (sio na makanisa pekee bali hata taasisi za kiislam) zinazotoa huduma za kijamii kwa wananchi wote bila kujali imani zaoLowasa huyu huyu aliyesaini M.O.U na makanisa
Kwa falsafa ya lowassa ya maamuzi magumu ni wazi baada ya uchauguzi mkuu Octoba kama atakuwa candidate wa UKAWA.
Waislam wote watanzania kiu yao ya mahakama ya Kadhi itakuwa imekatwa rasmi.
Na sema hivyo maana EL ni mtu wa maamuzi na kwa hili akilihaidi najuwa lazima atekeleze.
Kazi ni moja tu,wale wote wasiokubaliana na Mfumo wa Bakwata ni kuakikisha UKAWA wanaingia Ikulu tu.
Na kila jambo litatekelezwa kwa ustadi mkubwa na uaminifu.
Unafikiri waislam ni wajingawajinga sio!? juzi mmemfananisha Lowasa na Mtume wao S.A.W unadhani wanasahau kirahisi.
sijui watu wengine wanatumia nini kichwan? yan mtu mzima umekaa ukafikiria hili nalo ni jambo la kumnadi lowasa, nani kakwambia miswada ya sheria inapitishwa na rais? kwani JK ndio aliikataa mahakama ya kadhi? usifikirie waislam ni wajinga kiasi hicho na usidhan shida yao ni mahakama ya kadhi tu. Waislam wanaweza kumuunga mkono lowasa kama watanzania wengine na sio kwa ahad ya mahakama ya kadhi na hata huyo lowasa hawezi kuja kuahidi kitu kitakacholeta ugomvi tena. Rais ajaye ana mambo mengi ya kufanya zaid kuliko hiyo mahakama.
Mkuu tunasubiri ahadi zake kama na hilo litakuwepo basi hakuna namna tutampa kura zetu!!
We umetumwa na CCM, nani alikuambia serikali ina dini?!
wewe umelimbikiza ngapi mkuu...... unadhani kulimbikiza ni rahisi ,,,, ingekuwa rahisi baba yako angelimbikiza nae atununueMgonjwa wewe maamuzi mqgumu ya kuibia watanzania unajilimbikizia mali halafu unatumia mali hizo kununua uongozi?