Kinjekitile junior
JF-Expert Member
- Apr 20, 2015
- 4,404
- 581
wewe umelimbikiza ngapi mkuu...... unadhani kulimbikiza ni rahisi ,,,, ingekuwa rahisi baba yako angelimbikiza nae atununue
CCM vs Lowasa= Mafahali wawili wanchuana yetu macho
Matatizo ya mtu mmoja kuutamani uongozi wa juu ni tatizo sana, jiulize, anataka nini? Kuna vitu vingi nyuma yake anavyotaka kwa nguvu zote na anaposema atautafuta mchaka mchaka wake popote pale. Njugu anazogawa atawalipa nini? Jiulize hatiam yake hizo pesa atarudishaje hizo hela?