Manofu JF-Expert Member Joined Nov 3, 2018 Posts 1,317 Reaction score 2,020 Jun 4, 2019 #21 Tutafanya makubwa just wait and see kama walioweka kambi utuluki walifungwa na mbao Fc iliyoweka kambi viwanja vya chuo cha uwalimu Butimba fahamu kwamba maajabu yapo. Pamoja na ilo ila TFF sijui wanatupeleka wapi kama Nchi.
Tutafanya makubwa just wait and see kama walioweka kambi utuluki walifungwa na mbao Fc iliyoweka kambi viwanja vya chuo cha uwalimu Butimba fahamu kwamba maajabu yapo. Pamoja na ilo ila TFF sijui wanatupeleka wapi kama Nchi.
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 18,611 Reaction score 27,615 Jun 4, 2019 #22 Inatosha Stars Kuishia Makundi, Labda Michuano itakayofuata. Ushindi gani iupate wakati haina maandalizi na mikakati ya ushindi hadi sasa?
Inatosha Stars Kuishia Makundi, Labda Michuano itakayofuata. Ushindi gani iupate wakati haina maandalizi na mikakati ya ushindi hadi sasa?
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 18,960 Reaction score 67,654 Jun 4, 2019 #23 Huu uzi nitaufufua baada ya mechi za makundi huku goal difference ikiwa ni -12
B Babuu Rogger JF-Expert Member Joined Nov 16, 2011 Posts 1,529 Reaction score 1,119 Jun 4, 2019 #24 Mjikute tu!!!!🤔🤔🤔🤔🤔