Kwa ‘ Maandalizi ‘ haya mazuri tayari Taifa Stars imeshabeba Kombe la AFCON 2019 huko Egypt

Kwa ‘ Maandalizi ‘ haya mazuri tayari Taifa Stars imeshabeba Kombe la AFCON 2019 huko Egypt

Tutafanya makubwa just wait and see kama walioweka kambi utuluki walifungwa na mbao Fc iliyoweka kambi viwanja vya chuo cha uwalimu Butimba fahamu kwamba maajabu yapo. Pamoja na ilo ila TFF sijui wanatupeleka wapi kama Nchi.
 
Inatosha Stars Kuishia Makundi, Labda Michuano itakayofuata. Ushindi gani iupate wakati haina maandalizi na mikakati ya ushindi hadi sasa?
 
Back
Top Bottom