Kwa mabinti waaminifu mlioko chuoni na mnaoelekea chuoni

Natumai mko salama,

Leo nawiwa kuwaandikia haya enyi mabinti wenye nia ya kuutunza usichana wenu hata kama uko chuo au unatarajia kuingia huko.

Fanya yafuatayo kama hutaki uasherati chuoni.
1. Hakikisha una marafiki wa kike na wakiume kwa vyovyote lazima wawe na tabia kama zako au ziendane angalau kidogo, hawa wakiume watakustiri, wale nzi watakuwa wanajua ni wapenzi.

2. Uwe msiri, narudia tena uwe msiri kwa vitu vyako vya faida, kama wewe ni bikra katu usimwambie mtu hata kama unamwamini kiasi gani.

3 . Wakati marafiki zako wanapiga stori za ngono usiijitenge, changia mada kama vile wewe ndiyo mzoefu kuliko wao.

4. Kama una boom, hakikisha unaweka akiba yakukutosha mpaka boom lijalo, ukiishiwa bahati mbaya tafadhali omba nyumbani au kwa ndugu. Usiombe kwa rafiki yako, awe wa kike au wa kiume.

5. Jiheshimu katika mavazi na usali sana.
Imekaa sawa ila hapo kwenye namba 3 sio. Ndio mwanzo wa kushawishika kufanya ujinga. Kumbuka hawa ni binadamu wenye tamaa za mwili pia!
 
Ndoa za kwanza ziko vyuoni, watu wana ishi kinyumba kwa miaka yote mitatu, minne ya kozi yote. Baada ya chuo kila mtu ana sambaa, baada ya miaka kadhaa mbele kila mtu kaoa au kaolewa ndoa ya kanisani/msikini.HIZI ZINAKUWA NDOA ZA PILI.
Ninacho sema ndoa za kwanza hazifi... .. kuna watu wanaishi na wake au waume za wenzao
 
Kuna dada mmoya aliingia chuo akiwa sealed. Akasoma mpaka akamaliza yuko sealed. Hakuweza kutambulika kwasababu alikua anajichanganya sana. Club hakosi, kanisani alienda mara moja moja.

Alikuwa na marafiki wengi sana wa kiume kwa sababu course aliokuwa anasoma ilikuwa ni wanaume weng kuliko wanawake. Kwahiyo hata maongezi na story alichangia ili aifiche reality yake. Akamaliza zake chuo na kuingia kitaa. Akapiga hustle na nini...na kwa sabbu ya hali yake hakuwa anaenda outing sana na wanaume akijua watamuomba kipochi.

Mpaka mtaan watu wakasema yule manzi vipi. Lakini sio kwamba alikosa marafiki ila ndo alikua mkax kinyama. Akatokea mwamba mmoja. Akamuelewa...alikua mfanya kazi wa serikalini.

Basi akatupa verse pale manz akakubali. Mwamba kuomba mzigo sista akachomoa ile ile. Ndo mwamba kuuliza kwann unaninyima. Msista akasema mi nilikosea mara moja staki kukosea tena. Nataman atakaenivua nguo awe mume wangu wa ndoa.

Basi mwamba akawa kamaind..kama akataka kujiengua. Kuona demu kasimamia msimamo akasema hapa nimependa sitoki. Chap akatoa posa ndani ya miezi minne. Akamuoa kwa harusi simple tu..harusi ilikua kama dinner ni familia mbili tu basi.

Mwamba peleka honeymoon chuga uko. Ndo akajua manzi alikua sealed. Kumuuliza manzi akasema sikutaka kukwambia kwasabbu nilitaka kuona msimamo wako juu yangu. Mjamaa akampa kiwanja kwanza...maana sio kwa surprise ile. Leo wana watoto watatu and wako fresh tu. Mwaka wa saba huu wa ndoa yao.

NB: mleta mada kiukweli hujadanganya. Haya mambo yanawezekana.
 
Mungu awe wa kwanza hayo mengine yafuate
Chuon kuna peer pressure ya ovyo sana kama una akili za kushikiwa
Wakora lazima wapite na wewe
Wakora wenyewe ndiyo hawa
Mzabzab
Deeppond
Rikboy
National Anthem
Ritz
Usser
johnthebaptist
Gentamycin
Wahuni hawa jamaa
Ewe binti linda bikra yako epuka wahuni
Alafu haya mambo ya kutupaka matope sio jamani. Wengine sie mjue tunaburidisha baraza tuu hapa jf lakini wala sio vitombi.
Tuna wake zetu na tunalea watoto wakike vizuri tuu
 
2. Uwe msiri, narudia tena uwe msiri kwa vitu vyako vya faida, kama wewe ni bikra katu usimwambie mtu hata kama unamwamini kiasi gani.

3 . Wakati marafiki zako wanapiga stori za ngono usiijitenge, changia mada kama vile wewe ndiyo mzoefu kuliko wao
Anawadanganya huyu.
Hizo hints zinakataana.
 
Kuna dada mmoya aliingia chuo akiwa sealed. Akasoma mpaka akamaliza yuko sealed. Hakuweza kutambulika kwasababu alikua anajichanganya sana. Club hakosi, kanisani alienda mara moja moja.

Alikuwa na marafiki wengi sana wa kiume kwa sababu course aliokuwa anasoma ilikuwa ni wanaume weng kuliko wanawake. Kwahiyo hata maongezi na story alichangia ili aifiche reality yake. Akamaliza zake chuo na kuingia kitaa. Akapiga hustle na nini...na kwa sabbu ya hali yake hakuwa anaenda outing sana na wanaume akijua watamuomba kipochi.

Mpaka mtaan watu wakasema yule manzi vipi. Lakini sio kwamba alikosa marafiki ila ndo alikua mkax kinyama. Akatokea mwamba mmoja. Akamuelewa...alikua mfanya kazi wa serikalini.

Basi akatupa verse pale manz akakubali. Mwamba kuomba mzigo sista akachomoa ile ile. Ndo mwamba kuuliza kwann unaninyima. Msista akasema mi nilikosea mara moja staki kukosea tena. Nataman atakaenivua nguo awe mume wangu wa ndoa.

Basi mwamba akawa kamaind..kama akataka kujiengua. Kuona demu kasimamia msimamo akasema hapa nimependa sitoki. Chap akatoa posa ndani ya miezi minne. Akamuoa kwa harusi simple tu..harusi ilikua kama dinner ni familia mbili tu basi.

Mwamba peleka honeymoon chuga uko. Ndo akajua manzi alikua sealed. Kumuuliza manzi akasema sikutaka kukwambia kwasabbu nilitaka kuona msimamo wako juu yangu. Mjamaa akampa kiwanja kwanza...maana sio kwa surprise ile. Leo wana watoto watatu and wako fresh tu. Mwaka wa saba huu wa ndoa yao.

NB: mleta mada kiukweli hujadanganya. Haya mambo yanawezekana.
Katika elfu type hiyo hawazidi watatu.
 
Ukikutana hiyo zali ni poa sana, sema wengi kuna moja kati ya viwili
Sura ya mjomba ake,
Umbo zero,
Ila hizo zinajiita pisi kali ni ngumu kuvumilia hiyo internal force huwa lazima waingie kingi kwa iphone ya macho matatu
 
Alafu haya mambo ya kutupaka matope sio jamani. Wengine sie mjue tunaburidisha baraza tuu hapa jf lakini wala sio vitombi.
Tuna wake zetu na tunalea watoto wakike vizuri tuu
Hahahaha Hata Jimmy Mafufu naye kaja na Gia hii Au ndo Wewe Jimmy ulipita na ile Mtindi ya Masha
 
Ila mkubali Mkatae mimi binafsi nina ushuhuda wa wazi kabisa kwa Wife to be.

Sikuamini kabisa ila ndo ukweli niliokutana nao.

23 age kumkuta Bikra na ni Kisu balaa wakora wanamsumbua mnooo. Ila nashukuru Mungu niliwin Mimi hapa, Nisiye na chochote cha Kuonekana machoni pa Mwanadamu cha kuwazidi wale wengine
 
Ukikutana hiyo zali ni poa sana, sema wengi kuna moja kati ya viwili
Sura ya mjomba ake,
Umbo zero,
Ila hizo zinajiita pisi kali ni ngumu kuvumilia hiyo internal force huwa lazima waingie kingi kwa iphone ya macho matatu
Sio mbaya mkuu. Yuko average tu. Na mwili ni mnene kidogo..type ya kajala ivi. Ndo ivo jamaa alibahatika tu
 
Kuna dada mmoya aliingia chuo akiwa sealed. Akasoma mpaka akamaliza yuko sealed. Hakuweza kutambulika kwasababu alikua anajichanganya sana. Club hakosi, kanisani alienda mara moja moja.

Alikuwa na marafiki wengi sana wa kiume kwa sababu course aliokuwa anasoma ilikuwa ni wanaume weng kuliko wanawake. Kwahiyo hata maongezi na story alichangia ili aifiche reality yake. Akamaliza zake chuo na kuingia kitaa. Akapiga hustle na nini...na kwa sabbu ya hali yake hakuwa anaenda outing sana na wanaume akijua watamuomba kipochi.

Mpaka mtaan watu wakasema yule manzi vipi. Lakini sio kwamba alikosa marafiki ila ndo alikua mkax kinyama. Akatokea mwamba mmoja. Akamuelewa...alikua mfanya kazi wa serikalini.

Basi akatupa verse pale manz akakubali. Mwamba kuomba mzigo sista akachomoa ile ile. Ndo mwamba kuuliza kwann unaninyima. Msista akasema mi nilikosea mara moja staki kukosea tena. Nataman atakaenivua nguo awe mume wangu wa ndoa.

Basi mwamba akawa kamaind..kama akataka kujiengua. Kuona demu kasimamia msimamo akasema hapa nimependa sitoki. Chap akatoa posa ndani ya miezi minne. Akamuoa kwa harusi simple tu..harusi ilikua kama dinner ni familia mbili tu basi.

Mwamba peleka honeymoon chuga uko. Ndo akajua manzi alikua sealed. Kumuuliza manzi akasema sikutaka kukwambia kwasabbu nilitaka kuona msimamo wako juu yangu. Mjamaa akampa kiwanja kwanza...maana sio kwa surprise ile. Leo wana watoto watatu and wako fresh tu. Mwaka wa saba huu wa ndoa yao.

NB: mleta mada kiukweli hujadanganya. Haya mambo yanawezekana.
UYU NI WEW KABISA HONGERA MKUU JAPO UMEJISIFIA✌️
 
Hahahaha Hata Jimmy Mafufu naye kaja na Gia hii Au ndo Wewe Jimmy ulipita na ile Mtindi ya Masha
Huyo masha ndio nani? Unamaanisha ana matiti makubwa jamaa akawa ana titty fvck?
 
Kuna dada mmoya aliingia chuo akiwa sealed. Akasoma mpaka akamaliza yuko sealed. Hakuweza kutambulika kwasababu alikua anajichanganya sana. Club hakosi, kanisani alienda mara moja moja.

Alikuwa na marafiki wengi sana wa kiume kwa sababu course aliokuwa anasoma ilikuwa ni wanaume weng kuliko wanawake. Kwahiyo hata maongezi na story alichangia ili aifiche reality yake. Akamaliza zake chuo na kuingia kitaa. Akapiga hustle na nini...na kwa sabbu ya hali yake hakuwa anaenda outing sana na wanaume akijua watamuomba kipochi.

Mpaka mtaan watu wakasema yule manzi vipi. Lakini sio kwamba alikosa marafiki ila ndo alikua mkax kinyama. Akatokea mwamba mmoja. Akamuelewa...alikua mfanya kazi wa serikalini.

Basi akatupa verse pale manz akakubali. Mwamba kuomba mzigo sista akachomoa ile ile. Ndo mwamba kuuliza kwann unaninyima. Msista akasema mi nilikosea mara moja staki kukosea tena. Nataman atakaenivua nguo awe mume wangu wa ndoa.

Basi mwamba akawa kamaind..kama akataka kujiengua. Kuona demu kasimamia msimamo akasema hapa nimependa sitoki. Chap akatoa posa ndani ya miezi minne. Akamuoa kwa harusi simple tu..harusi ilikua kama dinner ni familia mbili tu basi.

Mwamba peleka honeymoon chuga uko. Ndo akajua manzi alikua sealed. Kumuuliza manzi akasema sikutaka kukwambia kwasabbu nilitaka kuona msimamo wako juu yangu. Mjamaa akampa kiwanja kwanza...maana sio kwa surprise ile. Leo wana watoto watatu and wako fresh tu. Mwaka wa saba huu wa ndoa yao.

NB: mleta mada kiukweli hujadanganya. Haya mambo yanawezekana. Naamini ulichoandika kwa kuwa na Mimi nimeshuhudia . binti akitaka atoboe chuo na usichana wake sharti ajivike ngozi ya chui ilihali ndani ni kondoo
 
Ila mkubali Mkatae mimi binafsi nina ushuhuda wa wazi kabisa kwa Wife to be.

Sikuamini kabisa ila ndo ukweli niliokutana nao.

23 age kumkuta Bikra na ni Kisu balaa wakora wanamsumbua mnooo. Ila nashukuru Mungu niliwin Mimi hapa, Nisiye na chochote cha Kuonekana machoni pa Mwanadamu cha kuwazidi wale wengine
Vizuri sana Mungu abariki DOA yenu
 
Yaani unawakumbusha kusali sana afu unawaambia KWENYE MIJADALA YA NGONO WACHANGIE!!!...”maneno mabaya huaribu tabia”au hujui
Hii ni njia niliyoshuhudia ikisaidia sana maana watu wa kwanza kutoa taarifa zako ni marafiki, so wakijua kuwa wewe u mtakatifu, aisee utarushiwa mawe vibaya mno mengine ukashindwa yakwepa yakakupiga.
 
Imekaa sawa ila hapo kwenye namba 3 sio. Ndio mwanzo wa kushawishika kufanya ujinga. Kumbuka hawa ni binadamu wenye tamaa za mwili pia!
Hapo nikuficha dhahabu kwa kuifunika na matope isionekane na watu ikachukuliwa, ili badae ikufae .
 
Mungu awe wa kwanza hayo mengine yafuate
Chuon kuna peer pressure ya ovyo sana kama una akili za kushikiwa
Wakora lazima wapite na wewe
Wakora wenyewe ndiyo hawa
Mzabzab
Deeppond
Rikboy
National Anthem
Ritz
Usser
johnthebaptist
Gentamycin
Wahuni hawa jamaa
Ewe binti linda bikra yako epuka wahuni
Bila kumsahau his highness Zero IQ mmiliki wa kiwanda cha kuchakata viazi
 
Kuna dada mmoya aliingia chuo akiwa sealed. Akasoma mpaka akamaliza yuko sealed. Hakuweza kutambulika kwasababu alikua anajichanganya sana. Club hakosi, kanisani alienda mara moja moja.

Alikuwa na marafiki wengi sana wa kiume kwa sababu course aliokuwa anasoma ilikuwa ni wanaume weng kuliko wanawake. Kwahiyo hata maongezi na story alichangia ili aifiche reality yake. Akamaliza zake chuo na kuingia kitaa. Akapiga hustle na nini...na kwa sabbu ya hali yake hakuwa anaenda outing sana na wanaume akijua watamuomba kipochi.

Mpaka mtaan watu wakasema yule manzi vipi. Lakini sio kwamba alikosa marafiki ila ndo alikua mkax kinyama. Akatokea mwamba mmoja. Akamuelewa...alikua mfanya kazi wa serikalini.

Basi akatupa verse pale manz akakubali. Mwamba kuomba mzigo sista akachomoa ile ile. Ndo mwamba kuuliza kwann unaninyima. Msista akasema mi nilikosea mara moja staki kukosea tena. Nataman atakaenivua nguo awe mume wangu wa ndoa.

Basi mwamba akawa kamaind..kama akataka kujiengua. Kuona demu kasimamia msimamo akasema hapa nimependa sitoki. Chap akatoa posa ndani ya miezi minne. Akamuoa kwa harusi simple tu..harusi ilikua kama dinner ni familia mbili tu basi.

Mwamba peleka honeymoon chuga uko. Ndo akajua manzi alikua sealed. Kumuuliza manzi akasema sikutaka kukwambia kwasabbu nilitaka kuona msimamo wako juu yangu. Mjamaa akampa kiwanja kwanza...maana sio kwa surprise ile. Leo wana watoto watatu and wako fresh tu. Mwaka wa saba huu wa ndoa yao.

NB: mleta mada kiukweli hujadanganya. Haya mambo yanawezekana.
Umeshindwa kusema kama ni ww mkuu
 
Back
Top Bottom