Kwa mabinti waaminifu mlioko chuoni na mnaoelekea chuoni

Alafu haya mambo ya kutupaka matope sio jamani. Wengine sie mjue tunaburidisha baraza tuu hapa jf lakini wala sio vitombi.
Tuna wake zetu na tunalea watoto wakike vizuri tuu

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]pole kaka yangu

Wanakusingizia tuu
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…