Upo sahihi kadiri ya heading ya uzi wakoMwenyezi Mungu, Muumba wa mbingu na dunia na vyote vilivyomo (vinavyoonekana na visivyoonekana), kama itakupendeza mtumie mwanao Dr. Mpango kuliokoa taifa letu.
Umaskini wakutengenezwa unatuumiza sana.
Watanzania tunaumia, πππ
Watanzania hatuna furaha kabisa,πππ
Mioyo yetu imekufa ganzi πππ
Tumepoteza muelekeo.
Tumechoka
Hatuwezi kujadili maendeleo ya nchi yetu kwa uwazi tena.
Sio lazima awe rais, kuna njia nyingi za kuliokoa taifa. Ila ikimpendeza Mungu, hata akimpa urais sawa tu.Mpango ametumika vya kutosha,anaenda kupumzika,unataka aendelee vijana wa kimaskini,wenye uchungu na taifa na ni wazarendo watapata wapi nafasi ya kuliongoza taifa hili?.
Mwenye connection na Msoga na Bumbuli unategemea niniNasikia Yule Mzee ni RC wale kindakindaki halafu kaja kuwekwa na Ustadhati wa Zenji
Nasikia Yule Mzee ni RC wale kindakindaki halafu kaja kuwekwa na Ustadhati wa Zenji. Naona kachomoa betri.
Japo nasikia huko Sijui chanika Hana ujirani mwema na majirani zake..... sijui kama ni kweli
CCM wote ndio walivyo Ndugu yanguMpango na yeye halikuwa halitaki bwawa.
Baada ya magu kufa mpango alianza kulisema bwawa vibaya.. watu wakamuona ni mnafiki amepewa rushwa na kampuni za gesi.
Mbona hakulikataa bwawa wakati magufuli yupo
Bumbuli hawataki kusikia mwezi unaitwa JanuaryMwenye connection na Msoga na Bumbuli unategemea nini
Kila mtu anauchukia huo mwezi maana unatafuna sana pesaBumbuli hawataki kusikia mwezi unaitwa January