Kwa madada mnaotafuta mahusiano

Kwa madada mnaotafuta mahusiano

nikimaliza nitakujulisha tuje tule😛opcorn:

bora tu manake nimetoka kwa babu....nina njaa sana...bisibisi will do....i hope uko powa na huja beep mtu....l.o.l
 
mkuu mikwala yote ile kumbe unamnyemelea michelle? dah!

anatamani anione sio kuwa na mimi....shalobaro wewe kuelewa ni kazi kwelii....angekuwa ananitaka angekuwa alishani PM zamani.....:hand:
 
anatamani anione sio kuwa na mimi....shalobaro wewe kuelewa ni kazi kwelii....angekuwa ananitaka angekuwa alishani PM zamani.....:hand:
hehehe hela ya cafe ikiisha nishtue, yaani najiskia kuchunwa kweli leo. hivi lizzy alikuambia kuwa nilikumiss leo jioni?
 
unishauri sio? Hope nami nina ya kukushauri

kama ukinipa nafasi na jambo la kukushauri nitafanya hivyo.......najua nawe utakuwa nayo ya kunishauri na napenda sana ushauri ndo maana niko JF....nikiupata wako binafsi nitashukuru zaidi.....:hand:
 
hehehe hela ya cafe ikiisha nishtue, yaani najiskia kuchunwa kweli leo. hivi lizzy alikuambia kuwa nilikumiss leo jioni?

Ndo inakaribia kuisha....nakuona umekaa kuchunwa chunwa sana leo ndo maana unaingilia yasiyokuhusu.....Lizzy kaniambia....mimi mwenyewe nilikumiss sana Kloro....majukumu haya jamani......:A S 13:
 
Natamani sana nikuone, michelle

Natamani sana nikuone na kuzungumza nawe Raia Fulani....and i mean it....!!!

unishauri sio? Hope nami nina ya kukushauri

kama ukinipa nafasi na jambo la kukushauri nitafanya hivyo.......najua nawe utakuwa nayo ya kunishauri na napenda sana ushauri ndo maana niko JF....nikiupata wako binafsi nitashukuru zaidi.....:hand:

😛op2:
 
Ndo inakaribia kuisha....nakuona umekaa kuchunwa chunwa sana leo ndo maana unaingilia yasiyokuhusu.....Lizzy kaniambia....mimi mwenyewe nilikumiss sana Kloro....majukumu haya jamani......:A S 13:
hapo red, huo wimbo kaimba nani?
 
kama ukinipa nafasi na jambo la kukushauri nitafanya hivyo.......najua nawe utakuwa nayo ya kunishauri na napenda sana ushauri ndo maana niko JF....nikiupata wako binafsi nitashukuru zaidi.....:hand:

bila shaka. Mwambie klorokwin atafute venue
 
so what have u concluded, sir!
greti thinkaz tupo wachache sana hata kumi hatufiki na wewe nimekuongeza kwenye listi. hapa hata huyo michelle wenyewe anajibu mapost tu lakini hajaelewa anapelekwa wapi?
conclusion: you are an idolic hero.
 
hiyo chumvi, kaka itazidi. Alishakujibu nadhani. Ningependa kumwona kwa maana ya kumwona baas! Tushauriane pia
 
kweli hiki kizazi cha ajabu MWANAUME anashindwa KUTONGOZA? unataka mwanamke akutongoze!!!!! eti ndo kakupenda dah no wonder mpaka ujitangaze yaani mchumba anatafutwa km bidhaa, mwanaume kuulizwa nikusaidie nini eti unakasirika!! mbona keshakurahisishia njia hapo anajua nia yako ni nini anataka kuona how strong you are!! mwanamke anahitaji security mtu atakaye rely on yaani akiwa na wewe asiwe na wasiwasi sasa kaka upewe nini hapo wewe ungekwepo enzi zetu ungeishia kupiga nyeto au kubaka kuku tuu wakati ule lazima utongoze ana kwa ana yaali LIVE sio leo nipe namba ya simu ukifika home eti unapiga unaanza sijui nakuzimia hahaaaa wenzio tushamwagiwa saaana maji visimani huko tushang'atwa saana na mbu usiku tukisubiria totoz, enzi hizo unasotea demu miezi sita, mwaka umo tuu unaimbisha. so mkuu be a man bana gangamaaa usipende kupata vitu ki rahirahisi na vitaondoka vivyo hivyoo kilaiiiniiiiiii
 
Back
Top Bottom