mkuyati og
JF-Expert Member
- Apr 19, 2011
- 821
- 587
Salaam kwenu wote wapendwa.
Kabla sijatoa langu la moyoni ningependa ku-declare interest kwamba mimi ni daktari. Ninaipenda, ninaiheshimu na ninaithamini sana profession yangu.
Nimekuwa najiuliza sana kuhusu aina ya mijadala na ushauri unaotolewa katika hili jukwaa letu pendwa. Mara kadhaa nikisoma kwa makini nagundua kazi tunayoifanya humu inaenda kinyume na mantiki na matarajio yaliyowekwa wakati jukwaa hili linaanzishwa. Nachomaanisha ni kwamba either we abuse the profession and its practice, or we mislead one another whether knowingly or not.
Kwa imani yangu, taaluma ya udaktari ni very noble and sacred kwa sababu inahusika moja kwa moja na afya na uhai wa watu.
Naomba mnisaidie kujibu maswali yafuatayo:
1. Ni aina gani ya ushauri tunaruhusiwa kutoa humu, na kwa scenario gani?
2. Ni nani hasa anaruhusiwa kutoa ushauri na je ni salama kuufata?
3. Nini kifanyike endapo mtu atapata madhara baada ya kufata ushauri fulani?
4. je tuna uhakika gani kama hawa wanaotushauri wana uelewa yakinifu kuhusu haya wanayotueleza?
5. Tunapozungumzia daktari, kwa mantiki ya jukwaa hili tunamaanisha mtu gani hasa?
The medical field is a very broad spectrum of knowledge, the broadest ever known. it takes years to learn, understand and master,, let alone practice medicine. Yet we have people who are professionally trained to serve, na wanapatikana hospitali. In medicine we say and emphasize that all doctors should adhere to known and researched management protocols,, but bearing in mind that every patient has a unique way of handling and treating regardless of similarities in diagnoses or disease presentation.
Huwa navunjika moyo sana nikisoma thread za watu wanaoomba msaada halafu kila mtu anashuka na ushauri wake bila kujali kama anachokiandika ni sahihi, anakifahamu vizuri ama anatumia mazoea ama habari za kusikia mtaani ama kwa rafiki ama personal experience. ndugu zangu mwili wa binadamu ni very complex,, kutoa ushauri wakati huuelewi vizuri ni matusi kwa profession za watu. Ni ngumu sana kumpa tiba mgonjwa ambaye humuoni wala humfahamu,, tena baada ya kusoma mistari michache ya thread yake.
Mapendekezo yangu ni yafuatayo:
A. wapendwa naomaba niwaombe saana tuwe waangalifu tunapotoa ushauri,, maana unaweza ukota ushauri kwa roho safi kabisa lakini huna uelewa wa kutosha wa the "whys" whens" and "hows" huo ushauri wako unafanya kazi. tujenge, tusibomoe hii profession yetu tukufu na kulichafua jina la daktari.
B. tujihadhari sana na ku-post documents ama machapishi ambayo hayajafanyiwa utafiti wa kutosha,, ama yasiyojitosheleza au kukamilika. Mtu unaweza kushtakiwa kama andiko lako litasababisha madhara kwa wasomaji endapo hukutoa angalizo.
C. tunapokuwa na matatizo ya kiafya ni vizuri kupata msaada wa ushauri,, ila ni vyema zaidi ukawaone wataalam hospitalini (sio wa miti shamba) maana wao wana uelewa mzuri zaidi na ni salama zaidi.
Mwisho napenda kuwaaga kwa kiapo chetu madaktari (Hippocratic Oath)
Muwe na amani, upendo na most importantly, muwe na afya njema. Mk1

I swear to fulfill, to the best of my ability and judgment, this covenant:
I will respect the hard-won scientific gains of those physicians in whose steps I walk, and gladly share such knowledge as is mine with those who are to follow.
I will apply, for the benefit of the sick, all measures which are required, avoiding those twin traps of overtreatment and therapeutic nihilism.
I will remember that there is art to medicine as well as science, and that warmth, sympathy, and understanding may outweigh the surgeon's knife or the chemist's drug.
I will not be ashamed to say "I know not," nor will I fail to call in my colleagues when the skills of another are needed for a patient's recovery.
I will respect the privacy of my patients, for their problems are not disclosed to me that the world may know. Most especially must I tread with care in matters of life and death. If it is given me to save a life, all thanks. But it may also be within my power to take a life; this awesome responsibility must be faced with great humbleness and awareness of my own frailty. Above all, I must not play at God.
I will remember that I do not treat a fever chart, a cancerous growth, but a sick human being, whose illness may affect the person's family and economic stability. My responsibility includes these related problems, if I am to care adequately for the sick.
I will prevent disease whenever I can, for prevention is preferable to cure.
I will remember that I remain a member of society, with special obligations to all my fellow human beings, those sound of mind and body as well as the infirm.
If I do not violate this oath, may I enjoy life and art, respected while I live and remembered with affection thereafter. May I always act so as to preserve the finest traditions of my calling and may I long experience the joy of healing those who seek my help.