Kwa mademu wachunaji, mkinichukia poa tu!

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Hawa ndo Kiboko yao! Hakuna wazo atakalokupa
ambalo ni la kuingiza hela..yeye kila wazo lake ni la
kupulusa kilichopo bila kujali kitarudije na zikiisha
itakuwaje!Wanatumia ile 'Shauri yake Principle'
Baby twende Maisha Club Leo kuna Usiku wa Mabeste anazindua Album jamani,Nampenda kweli Ben Paul
atapafomu....
''Baby uko Mlimani City??please nichukulie 'Tuna' Fish
hapo njaa inauma kweli mpenzi..hata hujui ana hela
au hana,kiruu!
''Baby,nimeona cheni nzuri kweli can i have 60 thou mpenzi wangu,mwaahh...Ulimpa hiyo 60 thou??
Ilikuwa kwenye Plan???Is it necessary ununue
leo????THINK!
''Honey,kuna Samsung Galaxy nzuriiiii nimeona
dukani,kama ile ya BFF wangu Joanita''
''Mpenzi,hivi huwezi hata kuninunulia VITZ,kwakweli nimechoka Daladala''.....Umechoka daladala wakati
mamako bado anapanda,tena za Tandika...acheni
biashara kichaa,hailipi!
Sisemi usiombe hela au vitu lakini hakuna hata
sentensi moja ambayo ni Income Generating inaweza
kutoa kinywani mwako hata mara moja kwa mwaka ili huyu MKAKA akumbuke kwamba She did this last
year????
Hata kusema mpenzi nimeona tangazo kiwanja
kinauzwa can we go see it and buy tujenge when
tukioana?? Au Mpenzi kuna this Business nimeona
rafiki yangu amefanya inamlipa sana,can you think of doing it???
Wewe ni mchunaji Mwanzo Mwisho,hakuna Positive
hata moja???Halafu unataka huyu jamaa A-propose
ndoa???Na unamkomalia kwamba mbona yuko
kimya hasemi kitu mwaka wa 3 huu???Apropose
kuoa DEBIT????Ah nani kasema,utasubiria Treni hapo Ferry,subiri hapohapo hadi usikie honi..Anakutafutia tu
Timing ya kukumwaga,maana ur a Liability to him
japo hakwambii!
kwahisani ya wahaya waishio dar
 
kama anatoa tope hana budi kutimiziwa. pesa kwa tope, maana hamna namna tena.
 
wa uswazi ana garama shida zako ni zake lakini hawa wakujifanya wa mjini ndo matatizo
 
Bado kwa hali ya sasa wataongezeka, ila kauli watabadilisha na Kuwa...
Baby naomba hata buku nikanunue unga na dagaa
Alafu atasingizia chips zinamfanya anenepe nayeye anataka kuwa modo
 
wa uswazi ana garama shida zako ni zake lakini hawa wakujifanya wa mjini ndo matatizo
Hatari kaka, alafu wanakupeleka kwenye zile sehemu ambazo vitu vinauzwa bei za kitalii
 
Kuna kamoja hako baada ya siku mbili tu kakaniomba eti nikapangishie nyumba ya laki 7 kwa mwezi!

Niliishia kucheka tu kwa kweli.

Because, what else can you do?
Hahaha, labda aliskia harufu ya hela.
Manake Mungu amewajaalia pua zinazonusa mapene
 
Wanawake ni mama zetu, wanatujua mwanzo mwisho. Ukiona unaletewa hizo ujue ni saizi yako, yupo kibopa anayepanga nae mipango ya pesa ndefu. Wewe umetaka mapichapicha, hiyo ndio kodi yake.. Huna ubavu wa kumiliki demu class hiyo, jipake shombo ukangoje mke wa mahari-mimba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…