STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,076
- 17,247
- Thread starter
- #121
Duuuh, pole sana asee,Yaani hii ndo hali halisi ya hawa kinadada.wiki mbili tu zilizopita niliweka uzi hapa wenye kichwa.
Ni kupiga chini tu hakuna namna.
kutokana na kuchunwa kuliko pitiliza niliambiwa ili nipewe nimpangie nikasema sawa yalifuata sasa balaa na mbaya zaidi hela ya matumizi kila siku kama nimeoa vile yaani nusu ya mshahara anatumia yeye na bado halidhiki.demu mwenyewe katumika hadi basi na baadae kuishia kuzalishwa halafu zigo nije kubebeshwa mie kinda below 30yrs.nikaamua kupiga chini haraka sana maana niliona natumika tu.
na angekufilisi kama usingemshtukia mapema